Kinywaji "Double Kick" kinamaliza vijana

Kinywaji "Double Kick" kinamaliza vijana

Wazee nimeshusha mzigo huu apa... Mnaosifia dabo kiko huyo ni brother ake..
JamiiForums-1491002424.jpg


Sent from my FTE171A using JamiiForums mobile app
 
Hiki kinywaji ukiwa na 2,000 TZS unazima mazima. Vijana mtaani wanazoa kinywaji hiki kwa kushindana.
NB: Vijana wanapoteza marinda bila kupenda
Nmekunywa vitatu sijazima Jana inategemea na kichwa
 
Kuna jamaa ni dereva wa gari la kusambaza mikate anaishi hapa mtaani yani anaiba mikate anapeleka dukani kwa malipo ya double kick, yan amekonda kama mzuka nusura atafanana panya
Duh DKK ni balaa kumbe😀
 
Back
Top Bottom