Kinywaji "Double Kick" kinamaliza vijana

Kinywaji "Double Kick" kinamaliza vijana

Dunia inazungumzia namna ya kusaidia Ukraine sisi tunatibu watu waliopasuliwa Rinda kwa pombe ya 2,000
Hahahahah .....hapohapo Serikali inakuambia mwaka huu wa fedha kipao mbele ni afya. Kumbe afya yenyewe mojawapo ni kama hii?
 
Hiki kinywaji pamoja na ile BINGWA viliwahi kumuua anko wangu mmoja uko mkoani,

Alimix DOUBLE KICK+ BINGWA akalewa na akavua nguo zote,
Alienda kujitumbukiza mtoni kupambana na mamba aliekua anakula ngombe wakivuka mto.

Kilichomkuta Aling'atwa kiuno,
Akaishia kufariki kwa majeraha makali miez miwili baadae[emoji26]
😂😂🤣😂🤣😂🤣🤣😳😳😳🤔🤔🤔

Mkuu stori ya kweli hii!!?
 
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848]

Mkuu stori ya kweli hii!!?
Mi mwnye nilisimuliwa hivyo na waliokua wanamuuguza,
Ni miaka mingin sana imepita mkuu[emoji4]
 
Kibaya zaidi wanapima yani wanakata mpaka cha buku, hakuna anaekunywa hichi kinywaji akakiacha na kutoka salama.
 
Kuna vilevi vina % kubwa zaidi ya hiki?View attachment 2143718
Hiyo kitu ni hatari sana kwa afya, nimewahi fika kwenye kipub ninachopigaga gambe, wanasema K-vant na Konyagi villisha ndo wameagizia. Nikamwambia dogo anipe hiyo double Kick. Sema dogo anamfahamu wife na si mbali sana home (2.5 Km), wife kaitwa kaja kunichukua, imefika asubuhi ndio fahamu zinarudi na hapo nilikuwa nimepiga kama nusu na robo ya kitimoto na ugali wa wanaume wa mikoani. Sijawahi irudia tena. Yaani kina alcohol ya kawaida lakini kinaweza kukutoa roho, siku mbili hali si hali, tapika sana msosi haupandi tena, wakati nina uwezo wa kumaliza K-vant kubwa
 
Back
Top Bottom