Kinywaji "Double Kick" kinamaliza vijana

Kinywaji "Double Kick" kinamaliza vijana

Wanaita kemko fomla mkuu 😁😁 inaonekana kemko fomla ake ina balansiwa na katalyat za kutosha na namba nyingi nyingi pemben.
Ile double kick inakitu cha pekee sisi hatukijui

Rivella
Master
Zed
Azura
Diamond
Faru john

Hazina tabia kama za kick kabisaa
 
Kwa eneo nilipo wanywaji wamehamia kwenye smart gin, wanasema ukinywa double kick ikifika asubuhi unasikia harufu ya nyama unapohema yaani hapo ujue maini yameiva huko tumboni.
[emoji1][emoji28][emoji1787]
 
Matumizi ya pombe kali ni moja ya chanzo cha saratani ya koo na magonjwa ya ini
 
Hiki kinywaji pamoja na ile BINGWA viliwahi kumuua anko wangu mmoja uko mkoani,

Alimix DOUBLE KICK+ BINGWA akalewa na akavua nguo zote,
Alienda kujitumbukiza mtoni kupambana na mamba aliekua anakula ngombe wakivuka mto.

Kilichomkuta Aling'atwa kiuno,
Akaishia kufariki kwa majeraha makali miez miwili baadae[emoji26]
Hii chai ongeza sukari basi....
 
Chai iko wapi mkuu [emoji4]
Au ujawai kunywa Hii kitu
Nimeanza kunywa hii mizigo kuanzia mwaka 1997 nilipoamua kuachana rasmi na mpenzi wangu wa zamani, Safari Lager.

Hunielezi kitu kwa hawa wanyama... Konyagi, K Vant, Power No 1, Bongo Don na Vodka.

Na hii ni baada ya kushindwana na kina Grants, Black label na Jack Daniels
 
Back
Top Bottom