Kinywaji "Double Kick" kinamaliza vijana

Kinywaji "Double Kick" kinamaliza vijana

Kwa watu kuanzia miaka hamsini ina athiri mishipa ya fahamu (nerves) na hii ni madhara ya kunywa pombe iliyotengenezwa na ethanol yenye kiwango kikubwa cha kilevi (alcohol percentage)
 
Nyie ndo wachawi wenyewe nyie... We jamaa fala sana. Mchawi mwanga,muuaji shetani kabisa.... Kwa nini unapenda kuharibu starehe za wenzio? Mliishambulia beer ya The Kick .tukanyamaza, mkaja ishambulia gongo tukanyamaza. Sasa mnaanza ishambulia double kick. This time hatunyamazi. Na tutaonana wabaya kabisa ....muache roho mbaya. Hunilishi hunivishi.... Sisi tunakunywa hatuchagui hatubagui atakayetuzika hatumjui.
Endeleeni kunywa, tutakaowazika ni sisi sisi....[emoji1][emoji1]
 
Pombe nyingine ni takataka nilikunywa K-vant koo linakauka kiu yake utafikiri umekula nyama ya kunguru, mpaka macho yanakauka. Hapo bado hangover
Hii sio starehe kabisa. Kilevi kikizidi mwilini kinakuwa sumu ni hatari sana unakufa ghafla
 
Gadner kwenye page yake instagram nimeona anahamasisha vijana wapike supu na michemsho kwa kutumia Serengeti Premium Lager...hii imekaaje?
 
kuna manzi mmoja ni ticha tulitokea kufahamiana tu ,sasa katika kupiga piga story akanambia anakunywaga hizi pombe kali nikamjibu na mm pia ni mdau

jmoc nikamstua twende viwanja ,tumefika tukaagiza kvant kubwa tukawa tunajipigia kimtindo hadi ikaisha hakuna aliyelewa,bas bana nikaagiza huyu mdudu chupa mbili kila mmoja akapiga yake.

ile tumemaliza nashangaa madam analia tuu kuuliz vipi hajibu anadai kiti kinazunguka,nikamchukua nikamtoa pale hadi lodge kuchakata kumbe stim zimemzidia kazima nikaanza FIRST AID

sitosahau afu (alijikojolea)
Kam yangu siku moja demu kaja kunitembelee kanikuta natumia nyagi huwa sipendi kukozekana kvant kubwa au nyagi kubwa geto bas bhana napiga mdogo mdogo akanimbia mbna unakunywa mdgo mdgo akashika glass akabugia mdomo nusu glass HV duh nikaona duh kumbe huyu mtot anamudu pombe Kali nakamuongezea Tena nusu glass akakata yote duh nilibadki naduwaa siku zote sijawai kujuwa Kama anatumia basi baada kama dkk tano HV nilianza kuona magizo yake Mara afungulie radio kwa saut kubwa Mara aongee Kam mlevi .nikasema asinichezee huyu leo antanipa zotee[emoji3] uchakataji niliyompa awez sahau n[emoji2956]aliitafunwa haswaaa


Pombe siyo chai
 
Hiki kinywaji pamoja na ile BINGWA viliwahi kumuua anko wangu mmoja uko mkoani,

Alimix DOUBLE KICK+ BINGWA akalewa na akavua nguo zote,
Alienda kujitumbukiza mtoni kupambana na mamba aliekua anakula ngombe wakivuka mto.

Kilichomkuta Aling'atwa kiuno,
Akaishia kufariki kwa majeraha makali miez miwili baadae[emoji26]
Ahahaha [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha uoga wee hzo bia siyo ishu Ni rais San bia kufloat na usijue kuwa Ni mbovu tumia angalau nyagi na kvant
Hapana kwakweli kwanza mimi si mnywaj hata hizo bia nakunywa chache, nikitumia spirits, gins, whisky kesho yake hata nikinywa maji siyahisi kama yanapita koon
 
Back
Top Bottom