Kinywaji "Double Kick" kinamaliza vijana

Kinywaji "Double Kick" kinamaliza vijana

Master haimfikii double kick..hakuna pombe ya viplastick inayomfikia double kick hata nusu...double kick ni habari nyingine aiseee

Kwanza zile alcohol walizoandika sio za kweli nahis ina 100 ilee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata mie nasemaga hvi double kick sidhani kama ina alcohol 43 ile...
Sababu mie nakunywaga konyagi jipaba nikiwa nimeshiba namaliza 750ml za nyagi....
Ila double kick kamoja nalewa chakari afu ukinywa dk 20 nying ushalewa zamani hapo kapo nusu

Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
 
Kula pombe kula misomi kunywa maji meng kula matunda nazan kosa sio la pombe kosa ni la hao vijana wanaoitaka pombe wakati uwezo wao ni wa kunywa soda sasa inakua shida
Mnywa pombe ambane anaitumia na anaiweza kununua na kugalamia hawezi choka afya
 
Master haimfikii double kick..hakuna pombe ya viplastick inayomfikia double kick hata nusu...double kick ni habari nyingine aiseee

Kwanza zile alcohol walizoandika sio za kweli nahis ina 100 ilee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukinywa Double Kick wanashauri uvae kabisa Shanga kiunoni
 
Back
Top Bottom