muvangulumemile
JF-Expert Member
- May 25, 2020
- 686
- 966
Double kick ni hatari Sana, we ni mlevi?MLIANZA VIROBA WAKATOA SASA MNAANZA KUIPIGA VITA DOUBLE KICK
TATIZO NI POMBE AU HAO WANAKUNYWA HAWALI VIZURI??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Double kick ni hatari Sana, we ni mlevi?MLIANZA VIROBA WAKATOA SASA MNAANZA KUIPIGA VITA DOUBLE KICK
TATIZO NI POMBE AU HAO WANAKUNYWA HAWALI VIZURI??
Pombe yoyote haijawahi kumpata bingwa wala fundi wake.MLIANZA VIROBA WAKATOA SASA MNAANZA KUIPIGA VITA DOUBLE KICK
TATIZO NI POMBE AU HAO WANAKUNYWA HAWALI VIZURI??
nilipiga dry double kick inashawishi uendelee kunywa ila malipo yake ni kurudusha chenji kama utakula vitu visivoeleweka spirit inataka nyama nyamaTatizo hizo spirits zote inatakiwa uchanganye na club soda, tonic, limau na barafu... Kama vile unavyokunywa whiskey sasa mtu anaipiga kavu unategemea nini hapo??
96%Kuna vilevi vina % kubwa zaidi ya hiki?View attachment 2143718
Mkuu sio kwa hiyo double kick!!wewe changanya uchanganyavyo lakini zikifika 3, ukipona wewe kidume!!ukiona pombe hata vijana wa bodaboda wanaiogopa, ujue ni hatari.Tatizo hizo spirits zote inatakiwa uchanganye na club soda, tonic, limau na barafu... Kama vile unavyokunywa whiskey sasa mtu anaipiga kavu unategemea nini hapo??
Mkuu mimi nimezinywa zote Kvant na hiyo bongo don, hazina tatizo, isiyokuwa siwezi kunywa dry hata siku moja lazima ni mix na club soda... Na kama nimeamua kunywa zaidi ya chupa moja naweka na limau juu..K-vant mchumba tu kwa bongo don na double kick.
Mkuu Kuna bia ilikuwa inaitwa BINGWA ilikuwa balaa sanaa maana alcohol ilikuwa 7%Pombe yoyote haijawahi kumpata bingwa wala fundi wake.
Wanapima mpaka kipimo cha Mia tano na bukuKingeuzwa buku8 kidogo vijana wangenyooka
Miaka ya 1993-94 iliwafanya watu mbaya sana.Kuzimia na kutokwa mapovu mdomoni.😂😂😂😂Mkuu Kuna bia ilikuwa inaitwa BINGWA ilikuwa balaa sanaa maana alcohol ilikuwa 7%
So ale burger na madikodiko yake?Huyo atakuwa ni mlaji mzuri wa mikate/sponji(maana bado sijaona mikate halisi zaidi ya masponji tu yaliyo wekewa amira na ngano) kisha anasukumiza ma kilevi kikali lazima akonde
Mateso yote hayo ili upate nn?Mkuu mimi nimezinywa zote Kvant na hiyo bongo don, hazina tatizo, isiyokuwa siwezi kunywa dry hata siku moja lazima ni mix na club soda... Na kama nimeamua kunywa zaidi ya chupa moja naweka na limau juu..