Kinywaji "Double Kick" kinamaliza vijana

Juzi nkaenda dukani kwa Mangi kunywa soda basi vile soda sukari sana nkataka kumix kidogo na vant, akaniambia hamna labda animixie na spirit inayoitwa bongo land, nikamwambia anisamehe bure nisijepofua macho tu maana hivi vinywaji vishakuwa vingi mitaani hata haijulikani vinatokea wap
 
Una bahati. Tunavyoongea Ungekua Kidole juu tayari
 
Nyie ndo wachawi wenyewe nyie... We jamaa fala sana. Mchawi mwanga,muuaji shetani kabisa.... Kwa nini unapenda kuharibu starehe za wenzio? Mliishambulia beer ya The Kick .tukanyamaza, mkaja ishambulia gongo tukanyamaza. Sasa mnaanza ishambulia double kick. This time hatunyamazi. Na tutaonana wabaya kabisa ....muache roho mbaya. Hunilishi hunivishi.... Sisi tunakunywa hatuchagui hatubagui atakayetuzika hatumjui.
 
Juzi nkaenda dukani kwa Mangi kunywa soda basi vile soda sukari sana nkataka kumix kidogo na vant, akaniambia hamna labda animixie na spirit inayoitwa bongo land, nikamwambia anisamehe bure nisijepofua macho tu maana hivi vinywaji vishakuwa vingi mitaani hata haijulikani vinatokea wap
Siyo bongo land ni bongo Don mkuuu hahahaaaa... Ina alcohol 35 % kama nyagi au Kvant....
 
Juzi nkaenda dukani kwa Mangi kunywa soda basi vile soda sukari sana nkataka kumix kidogo na vant, akaniambia hamna labda animixie na spirit inayoitwa bongo land, nikamwambia anisamehe bure nisijepofua macho tu maana hivi vinywaji vishakuwa vingi mitaani hata haijulikani vinatokea wap
Hiii hapa...
Screenshot_20220308-223526.jpg
 
Back
Top Bottom