Kinywaji "Double Kick" kinamaliza vijana

Kuleni vizuri kama nyama choma,supu mzito asubuhi..ndio mnywe hiyo kitu...mtu unashindia miogo ndio waitafuta double kick..!lazima...kick!
Hiyo hata ukila vizuri hutoboi!!kinywaji gani cha bei nafuu ambacho ukinywa chupa 3, nadhani ni za 200mls, unakufa!!
Kwa hali ilipofikia kwa sasa ni lazima kiwanda hicho waangalie upya utengenezaji wake, na kisha wakibadirishe jina kabisa!!kwa sasa mtaani kinaogopwa sana, wamehamia kwenye smart gin.
Hicho wewe kula kiti moto kilo 2,na supu ya kongoro/mkia mzima juu, ukimaliza vi 3, baba jeni bai bai!!
 
Asante mkuu kwa kunielewesha..lakini nitakitafuta nijaribu.sikijui ata kikoje.
 
Asante mkuu kwa kunielewesha..lakini nitakitafuta nijaribu.sikijui ata kikoje.
Weka mbali na binadamu!!unapoona hadi vijana wa bodaboda wamekiogopa juu huo ni moto mwingine!!!wiki kama mbili maeneo ya kwetu kijana wa boda boda amezikwa , alikunywa 3, alidondoka vijana wenzake wakimshuhudia MUBASHARAAA!
 
Eti Baba Jeni Bye bye! Imenikumbusha mbali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…