Kinywaji gani ukinywa unasikia koo limeshukuru!

Kwa kawaida kila mtu anakitu ambacho akinywa kinamfurahisha! Je wewe ni Kinywaji gani ukinywa unasikia koo limeshukuru!🤗
Ka,a nikipata ile gongo ya mihogo au ya komoni huwa nafarijika sana.
 
Juisi Yenye Mchanganyiko Wa Ukwaju+Ubuyu Bariidi.
 
alinkasusi
mnaipendea nini? imekaa kama simenti iliyokorogwa sjui n yale ma viungo ilinishinda nilienda kwenye sherehe tukaletewa kama starter na kashata nikaishia kula kashata na cocacola
 
Zamani silikuwa kali sana yaani ukinywa mpaka mdogo unakuwa mwekundu kama umepaka lipstick ...Bora za sasa halafu sukari ni moderate .
napenda zile za kuchujua nikiwa huko Tanga zile huanachujua kwa kiwango cha sukari nitakacho ndio sasa hivi hazina sukari ya kukarahisha saa zingine unaisikia kwa mbaaaaali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…