[emoji23][emoji23][emoji23] Subiri nitoke church nitupie na picha kabisaHebu share hapa kinywaji chako ukipendeleacho zaidi na kwa nini unakipenda. Anza Mshana Jr
Hahahaha..tupia na mm nitupie ya kinibu kwa mama helena[emoji23][emoji23][emoji23] Subiri nitoke church nitupie na picha kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe subiri tu utaona[emoji3]Hahahaha..tupia na mm nitupie ya kinibu kwa mama helena
Banana kwa Mangi hapawanzuki 💃
Nilifundishwa ulevi na rafiki yangu mmoja mchagga alikuwa ananipeleka Ubungo kisiwani kwenye mbege kila jioni enzi hizo za utawala wa Mwinyi. Sehemu kubwa ya maongezi yalikuwa ni kuhusu ama "dukani mwangu" au "daladala yangu".Banana kwa Mangi hapa
HahahahahahaNilifundishwa ulevi na rafiki yangu mmoja mchagga alikuwa ananipeleka Ubungo kisiwani kwenye mbege kila jioni enzi hizo za utawala wa Mwinyi. Sehemu kubwa ya maongezi yalikuwa ni kuhusu ama "dukani mwangu" au "daladala yangu".
Hii nilimiksia na Kvant.. kuna dem akapalamia kunywa.. si tamuu? Akagida weeeee baada ya dk 10 nikaona mtu ananishika shika kifuani.napenda Ceres Apple
Ni tamu, nikinywa hasa ikiwa ya baridi kidogo inapita vyema kabisa kooni
Amarula ni kinywaji cha mademu? Mi huwa naigonga mixer na grants, dada zangu hunicheka sana eti ni cha wanawakeMaji,amarula