Altar? Ina ukakasiMaji
Mtindi
Juice hasa Apple
Wine hasa Altar
Beer hasa Safari lager
Soda hasa Spar letta
Whiskey hasa Jack Daniels
Spirit hasa K Vant
Yeah sukari nyingiAltar? Ina ukakasi
πππleo kitufe cha like umekichanganya na cha comment
Ya ndizi au majani ya chai.wanzuki [emoji126]
Haka kakinywaji kana ladha nzuri kweli
Ya baridiiiπππ kitu tamu hiyo balaaa π₯
Kanachangamsha kinoma. Hahahaa ukienda Super Markets buku 3 tu.Haka kakinywaji kana ladha nzuri kweli
Ukipiga mbili unaanza maruweruwe πππ
Halafu haiji chap chap
Poleee poleeeπππ
Tatizo hamira baba ukinywa unashiba hata Kama una njaa. Hang over la wanzuki ni noma baba inaweza shinda siku nzima bila kulaWe ndio mtu..wanzuki..banana ndio viwanywaji murua
HahahahahaTatizo hamira baba ukinywa unashiba hata Kama una njaa. Hang over la wanzuki ni noma baba inaweza shinda siku nzima bila kula
Hahahahahaha..dah we saluteHivi ni vinywaji vyangu bora kabisa
of all time
View attachment 2887645View attachment 2887646View attachment 2887647View attachment 2887649View attachment 2887650
Hivi ni vinywaji maalumu kwa bajeti finyu vinatutoa sanaHahahahahaha..dah we salute