Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Kwa namna zote inaonesha wapinzani wa mkataba wa DP world hawana hoja zaidi ya kwamba huo mkataba wa uwekezaji mkubwa unahusisha nchi ya kiarabu. Inashangaza kwamba mikataba kama hiyo ilikwishafanyika nchi za jirani na Tanzania miaka kadhaa iliyopita na hakukuwa na kelele.
Kama kuna nchi zingekuwa na hofu na waarabu basi ingekuwa ni Kenya na Rwanda kwani uhusiano wa nchi hizo na waarabu ni wa chini kuliko wa Tanzania.
Waarabu ni waasisi wa shughuli karibu zote za kiuchumi ikiwemo biashara na kilimo kwa Tanzania..Zaidi ya hivyo Tanzania ina idadi kubwa sana ya raia zake wenye asili ya kiarabu.
Iwapo Uiengereza haina tatizo kutawaliwa na viongozi wake wakubwa wenye asili ya Tanzania na Kenya na India.Tanzania ina ujinga gani na umetokea wapi wa kupinga kila mradi unaotokana na waarabu.
Mimi natilia shaka kwenye vitabu vya historia vinavyofundiswa mashuleni kwetu.Kuanzia sasa somo la historia lenye kutaja ujinga na chuki vifutwe kabisa.