Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Hii ni hint itayoelewaka kwa wenye akili na wafuatilaji wazuri wa siasa za Bongo.
Ni mtazamo wangu kuwa,baada ya Bashite kuongea alichoongea, kulikuwa na reaction ya walioguswa lengo wasionekane wabaya kwa Mama. Kwa maana ya kwamba wamesingiziwa ingawa hakutaja mtu ila wanaotajwa wanajjulikana.
Mama alitakiwa kusimama na Bashite, kwa mtazamo wangu, aliyoyaongea Bashite yalikuwa na baraka za Mama, ila Mama kapima kaona huu si muda muafaka wa kuleta msuguano ndani ya chama na serikali.
Hivyo, Bashite ataangushiwa jumba bovu kama Lowassa enzi za JK na atawajibika ama kwa kujiuliza au hata kuondolewa na sanasana kupewa onyo lengo ni kutuliza hali ya mambo(kuonyesha kuna hatua imechukuliwa dhidi yake).
NB: Msishangilie, 2025 Mama atamrudisha wakati huo uchaguzi utakuwa umeisha na Mama atakuwa ametetea kiti chake na wale wote walionywa na Bashite watapigwa chini labda kama atawsamehe.
Ni mimi kiona mbali.