Cvez
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 4,405
- 13,411
Katika kitu ambacho kiliniumiza nafsi ni mechi ya Mei 8 kuahirishwa. Lakini kutokana na msimamo wa ligi ulivyo sasa. Naamini katika ule msemo wa mabeberu "Everything happens for a reason". Hivi ni nani kati yetu alietambua kua furaha ambayo Wanasimba tungeipata Mei 8 si lolote kama furaha ambayo tutaipata hapo Julai 3.
Imagine unampiga Uto kisha unatangaza ubingwa mbele ya macho yao kale kafeeling ni unexplainable. Popote alipo yule jamaa aliehakikisha kanuni zinaheshimiwa May 8 piga Pepsi baridi Mo ataclear bili.
Waswahili wanasema karuka mkojo kakanyaga mavi. Kama vipi fuateni ushauri wa Mzee Mpili