Kiongozi aliewahamasisha Yanga kusimamia kanuni ana nafasi yake peponi

Kiongozi aliewahamasisha Yanga kusimamia kanuni ana nafasi yake peponi

Hii tabia ya kuingia na matokeo mifukoni, huwa mnaipenda sana! Ila mwisho wa siku mnaishia tu kurejesha goli dakika ya 90, wakati mwingine mnaishia kung'oa viti uwanjani.
Tuseme Amen game iishe salama Fair Play
 
Back
Top Bottom