Popote alipo yule jamaa aliehakikisha kanuni zinaheshimiwa May 8 piga Pepsi baridi Mo ataclear bili.[emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1828733
Katika kitu ambacho kiliniumiza nafsi ni mechi ya Mei 8 kuahirishwa. Lakini kutokana na msimamo wa ligi ulivyo sasa. Naamini katika ule msemo wa mabeberu "Everything happens for a reason". Hivi ni nani kati yetu alietambua kua furaha ambayo Wanasimba tungeipata Mei 8 si lolote kama furaha ambayo tutaipata hapo Julai 3.
Imagine unampiga Uto kisha unatangaza ubingwa mbele ya macho yao kale kafeeling ni unexplainable. Popote alipo yule jamaa aliehakikisha kanuni zinaheshimiwa May 8 piga Pepsi baridi Mo ataclear bili.
Waswahili wanasema karuka mkojo kakanyaga mavi. Kama vipi fuateni ushauri wa Mzee Mpili
Kumbe....Hapana ila kama tungewapiga May 8 isingekua vizuri. July 3 ndio safi kabisa unampiga halafu unapewa ndoo
Yanga tunasubiri kupewa point kwani mechi ilishapita, mtacheza na walioahirisha mechi siku hiyoKumbe....
Haaaa nimeipenda hii,yani unaweka akiba ya maneno.Nasuscribe hii thread mpaka tarehe 8 july 2021 saa 1:00 usiku ndiyo nitacomment tena
Kakalia kuti kavu kabisaWakifungwa July 3 lazima wamfukuze kwa kuhisi ni mamluki [emoji3][emoji3][emoji3]
Hii tabia ya kuingia na matokeo mifukoni, huwa mnaipenda sana! Ila mwisho wa siku mnaishia tu kurejesha goli dakika ya 90, wakati mwingine mnaishia kung'oa viti uwanjani.View attachment 1828733