Kiongozi aliyehujumu na kuua kiwanda cha TIPER ni wa ovyo kuwahi kutokea Tanzania


Mubashara / live :

Kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi ya petroleum kikizinduliwa mwezi December 1966 na Rais Mwalimu Julius Nyerere

President Julius Nyerere Inaugurates Newly-Built Oil Refinery December 1966

 
Yaaini Rais Alhaj Hassan Mwinyi!
 
Baada ya Uganda kugundua mafuta yao ambayo yatasafirishwa nje kupitia bandari ya Tanga, nayo Kenya kugundua mafuta yao na kwa dalili za kuwepo kwa mafuta kutokana na utafiti unaoendelea katika Bonde la ziwa Eyasi ipo haja kubwa kwa Tanzania kujenga kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta haraka iwezekanavyo..
 
Mubashara / live :

Kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi ya petroleum kikizinduliwa mwezi December 1966 na Rais Mwalimu Julius Nyerere

President Julius Nyerere Inaugurates Newly-Built Oil Refinery December 1966

Naomba kuipost hii video mkuu ili watanzania wote ambao hawajawahi kuiona TIPPER waione.
 
Dubwana lililoitwa mkapa. Ovyo sana.
 
MIONGONI MWA MAMBO YA MAANA AMBAYO RAIS WETU ANAHITAJI KUYAANGALIA HILI NI MOJA WAPO, KAMA KILITAIFISHWA, TUIEPUKE DHAMBI TUWAREJESHEE AGIP.
 
Hakifufuki tena..haiwezekani
Labda kujenga kingine.
Miundombinu ile haipo tena pale..
Ni muhimu kuanza maandalizi ya kujenga kingine kikubwa ambacho kitaweza kusafisha mafuta toka Uganda, Kenya na yale tunayotazamia kuchimba kutoka Bonde la ziwa Eyasi.
 
Ni muhimu kuanza maandalizi ya kujenga kingine kikubwa ambacho kitaweza kusafisha mafuta toka Uganda, Kenya na yale tunayotazamia kuchimba kutoka Bonde la ziwa Eyasi.
Sawasawa 👍
 
Watanzania sifa yetu ni ujaribifu ndiyo maana hatuna ubunifu wowote katika ulimwengu wa leo tangu nchi irate uhuru. Hebu tuulizane taifa letu linatambulishwa na bidhaa gani huko duniani, ukiachilia mbali hizi rasilimali alizotubarikia Mungu? Hivi ikitokea Mungu akatupokonya vyote alivyoviweka chini ya ardhi tutatamba na nini?
Angalia shule za ufundi zilivyobaki majengo elimu si kama ile iliyokusudiwa kipindi hicho, nenda vyuoni watu wanasoma chuo kikuu ni kama vile wapo tuition mchikichini kipindi hicho cha akina Mood physics, Mbuga, Mwl. Hidden...matokeo yake elimu inayotolewa hapo ni tiamaji tiamaji tuu.
Hili taifa linahitaji Kiongozi mkuu nje ya CCM atakayekuja kufanya marekebisho kwenye nyanja muhimu bila ya hivyo tutaendelea kupiga match time kila siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viongozi wetu waache ubinafsi na kupenda kujilimbikizia mali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…