Rwankomezi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 3,285
- 2,636
Mimi nimekuona awamu ya saba.
Kama umelala ukaniona hawamu ya saba basi jiandae kuishi kama shetani hawamu nyingine...Mana mm stokuwa jiwe ntakuwa chuma cha MJEREMANI!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nimekuona awamu ya saba.
Katika utawala wa Mwalimu Nyerere Tanzania tulikuwa na kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi ambacho kilikuwa kinazalisha petroli, dizeli mafuta ya taa, lami nk.
Kwa hiyo nchi ilikuwa ikinunua mafuta ghafi kwa bei nafuu na kuyasafisha kwa gharama nafuu na kufanya bei ya mafuta kuwa nafuu kwa walaji.
Ulipoingia MZIMU wa ubinafsishaji kiwanda kikafa tukaanza kununua mafuta yaliyosafishwa. Hapa ndipo tulipopotea maboya!
Sasa tunakula jeuri yetu kwa kukomolewa kwa bei ghali ya mafuta. Laiti kingekuwepo kiwanda chetu kile tusingeumia kiasi hiki!
Yaaini Rais Alhaj Hassan Mwinyi!Katika utawala wa Mwalimu Nyerere Tanzania tulikuwa na kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi ambacho kilikuwa kinazalisha petroli, dizeli mafuta ya taa, lami nk.
Kwa hiyo nchi ilikuwa ikinunua mafuta ghafi kwa bei nafuu na kuyasafisha kwa gharama nafuu na kufanya bei ya mafuta kuwa nafuu kwa walaji.
Ulipoingia MZIMU wa ubinafsishaji kiwanda kikafa tukaanza kununua mafuta yaliyosafishwa. Hapa ndipo tulipopotea maboya!
Sasa tunakula jeuri yetu kwa kukomolewa kwa bei ghali ya mafuta. Laiti kingekuwepo kiwanda chetu kile tusingeumia kiasi hiki!
Mubashara / live :
Kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi ya petroleum kikizinduliwa mwezi December 1966 na Rais Mwalimu Julius Nyerere
President Julius Nyerere Inaugurates Newly-Built Oil Refinery December 1966
Dubwana lililoitwa mkapa. Ovyo sana.Katika utawala wa Mwalimu Nyerere Tanzania tulikuwa na kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi ambacho kilikuwa kinazalisha petroli, dizeli mafuta ya taa, lami nk.
Kwa hiyo nchi ilikuwa ikinunua mafuta ghafi kwa bei nafuu na kuyasafisha kwa gharama nafuu na kufanya bei ya mafuta kuwa nafuu kwa walaji.
Ulipoingia MZIMU wa ubinafsishaji kiwanda kikafa tukaanza kununua mafuta yaliyosafishwa. Hapa ndipo tulipopotea maboya!
Sasa tunakula jeuri yetu kwa kukomolewa kwa bei ghali ya mafuta. Laiti kingekuwepo kiwanda chetu kile tusingeumia kiasi hiki!
MIONGONI MWA MAMBO YA MAANA AMBAYO RAIS WETU ANAHITAJI KUYAANGALIA HILI NI MOJA WAPO, KAMA KILITAIFISHWA, TUIEPUKE DHAMBI TUWAREJESHEE AGIP.Zambia wanacho hawakuua kilijengwa same time na chetu
Cost ya kukikarabati sio kujenga kiwanda kipya zinahitajika dola milioni 500 hawana wanahaha kutafuta private investors!!
Kuna biashara Serikali haiwezi fanya Haina pesa za hiyo biashara
Kiwanda cha Tipper waitaliano wa Agip ndio waliwekeza Serikali ikajifanya kutaifisha limewatokea kooni
Private sector capital ina raise capital markets za kimataifa.Miradi kama hiyo Serikali haiiwezi kutegemea ukusanye Kodi dola milioni 500 kwenye mauzo ya nje ya mazao kama ya korosho sijui pamba sio rahisi!!
Mwenye nguvu mpishe Serikali irudishe kwa Agip hicho kiwanda cha kusafisha mafuta Serikali haiwezi kuwa na mtaji wa kufufua hicho kiwanda ni lofa
Hakifufuki tena..haiwezekaniChangamoto tuliyonayo hata lile wazo la kukifufua kiwanda hiki halipo kabisa!
Hamna miundo mbinu tena. Ilishakufa.MIONGONI MWA MAMBO YA MAANA AMBAYO RAIS WETU ANAHITAJI KUYAANGALIA HILI NI MOJA WAPO, KAMA KILITAIFISHWA, TUIEPUKE DHAMBI TUWAREJESHEE AGIP.
Ni muhimu kuanza maandalizi ya kujenga kingine kikubwa ambacho kitaweza kusafisha mafuta toka Uganda, Kenya na yale tunayotazamia kuchimba kutoka Bonde la ziwa Eyasi.Hakifufuki tena..haiwezekani
Labda kujenga kingine.
Miundombinu ile haipo tena pale..
Sawasawa 👍Ni muhimu kuanza maandalizi ya kujenga kingine kikubwa ambacho kitaweza kusafisha mafuta toka Uganda, Kenya na yale tunayotazamia kuchimba kutoka Bonde la ziwa Eyasi.
Watanzania sifa yetu ni ujaribifu ndiyo maana hatuna ubunifu wowote katika ulimwengu wa leo tangu nchi irate uhuru. Hebu tuulizane taifa letu linatambulishwa na bidhaa gani huko duniani, ukiachilia mbali hizi rasilimali alizotubarikia Mungu? Hivi ikitokea Mungu akatupokonya vyote alivyoviweka chini ya ardhi tutatamba na nini?Katika utawala wa Mwalimu Nyerere Tanzania tulikuwa na kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi ambacho kilikuwa kinazalisha petroli, dizeli mafuta ya taa, lami nk.
Kwa hiyo nchi ilikuwa ikinunua mafuta ghafi kwa bei nafuu na kuyasafisha kwa gharama nafuu na kufanya bei ya mafuta kuwa nafuu kwa walaji.
Ulipoingia MZIMU wa ubinafsishaji kiwanda kikafa tukaanza kununua mafuta yaliyosafishwa. Hapa ndipo tulipopotea maboya!
Sasa tunakula jeuri yetu kwa kukomolewa kwa bei ghali ya mafuta. Laiti kingekuwepo kiwanda chetu kile tusingeumia kiasi hiki!
Viongozi wetu waache ubinafsi na kupenda kujilimbikizia mali!Watanzania sifa yetu ni ujaribifu ndiyo maana hatuna ubunifu wowote katika ulimwengu wa leo tangu nchi irate uhuru. Hebu tuulizane taifa letu linatambulishwa na bidhaa gani huko duniani, ukiachilia mbali hizi rasilimali alizotubarikia Mungu? Hivi ikitokea Mungu akatupokonya vyote alivyoviweka chini ya ardhi tutatamba na nini?
Angalia shule za ufundi zilivyobaki majengo elimu si kama ile iliyokusudiwa kipindi hicho, nenda vyuoni watu wanasoma chuo kikuu ni kama vile wapo tuition mchikichini kipindi hicho cha akina Mood physics, Mbuga, Mwl. Hidden...matokeo yake elimu inayotolewa hapo ni tiamaji tiamaji tuu.
Hili taifa linahitaji Kiongozi mkuu nje ya CCM atakayekuja kufanya marekebisho kwenye nyanja muhimu bila ya hivyo tutaendelea kupiga match time kila siku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usikute dhambi ndogo ndogo za utaifishwaji na uporaji wa mali za watu unaitafuna TanzaniaMIONGONI MWA MAMBO YA MAANA AMBAYO RAIS WETU ANAHITAJI KUYAANGALIA HILI NI MOJA WAPO, KAMA KILITAIFISHWA, TUIEPUKE DHAMBI TUWAREJESHEE AGIP.