Sasahivi pesa zinabebwa hawaibi tena yaani wanapakuwa kabisaKwanini SGR isikamilike wakati wanakusanya kodi ya Railway Development Levy.
Hii kodi inakwenda kufanya kazi gani??
Zambia wanakula raha tuKatika utawala wa Mwalimu Nyerere Tanzania tulikuwa na kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi ambacho kilikuwa kinazalisha petroli, dizeli mafuta ya taa, lami nk. Kwa hiyo nchi ilikuwa ikinunua mafuta ghafi kwa bei nafuu na kuyasafisha kwa gharama nafuu na kufanya bei ya mafuta kuwa nafuu kwa walaji.
Ulipoingia MZIMU wa ubinafsishaji kiwanda kikafa tukaanza kununua mafuta yaliyosafishwa. Hapa ndipo tulipopotea maboya! Sasa tunakula jeuri yetu kwa kukomolewa kwa bei ghali ya mafuta. Laiti kingekuwepo kiwanda chetu kile tusingeumia kiasi hiki!
Swadakta !! Umefanya vizuri kuwafahamisha Hao vijana wasiojua nini mwalimu Nyerere alichokifanya katika nchi hii wao siku zote ni kubeza utawala wa Nyerere eti hakujua kutengeneza Uchumi !!Katika utawala wa Mwalimu Nyerere Tanzania tulikuwa na kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi ambacho kilikuwa kinazalisha petroli, dizeli mafuta ya taa, lami nk. Kwa hiyo nchi ilikuwa ikinunua mafuta ghafi kwa bei nafuu na kuyasafisha kwa gharama nafuu na kufanya bei ya mafuta kuwa nafuu kwa walaji.
Ulipoingia MZIMU wa ubinafsishaji kiwanda kikafa tukaanza kununua mafuta yaliyosafishwa. Hapa ndipo tulipopotea maboya! Sasa tunakula jeuri yetu kwa kukomolewa kwa bei ghali ya mafuta. Laiti kingekuwepo kiwanda chetu kile tusingeumia kiasi hiki!
sisi wananchi ndo wa hovyo kupitiliza, chumvi tu packet moja tunachagua mtu wa hovyoKatika utawala wa Mwalimu Nyerere Tanzania tulikuwa na kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi ambacho kilikuwa kinazalisha petroli, dizeli mafuta ya taa, lami nk. Kwa hiyo nchi ilikuwa ikinunua mafuta ghafi kwa bei nafuu na kuyasafisha kwa gharama nafuu na kufanya bei ya mafuta kuwa nafuu kwa walaji.
Ulipoingia MZIMU wa ubinafsishaji kiwanda kikafa tukaanza kununua mafuta yaliyosafishwa. Hapa ndipo tulipopotea maboya! Sasa tunakula jeuri yetu kwa kukomolewa kwa bei ghali ya mafuta. Laiti kingekuwepo kiwanda chetu kile tusingeumia kiasi hiki!
Fikiria tu tumeshindwa kuzalisha mafuta ya alizeti, vijiti vya kuchokonolea meno, ngano, nguzo za umeme nk wakati ardhi ya kutoa raw materials ipo kubwa tu, nani anayehujumu uzalishaji wa malighafi nchiniu
nakumbuka kipindi cha mkapa tulikua tunanunua petrol lita sh 500 yalikua yakichakatwa hapo kigamboniKatika utawala wa Mwalimu Nyerere Tanzania tulikuwa na kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi ambacho kilikuwa kinazalisha petroli, dizeli mafuta ya taa, lami nk. Kwa hiyo nchi ilikuwa ikinunua mafuta ghafi kwa bei nafuu na kuyasafisha kwa gharama nafuu na kufanya bei ya mafuta kuwa nafuu kwa walaji.
Ulipoingia MZIMU wa ubinafsishaji kiwanda kikafa tukaanza kununua mafuta yaliyosafishwa. Hapa ndipo tulipopotea maboya! Sasa tunakula jeuri yetu kwa kukomolewa kwa bei ghali ya mafuta. Laiti kingekuwepo kiwanda chetu kile tusingeumia kiasi hiki!
unasema ilikua smallest refinery lakini ilikua inatutosheleza kwa mahitaji ya ndani mafuta yalikua sh 500 kwa litaW
Kama hujui undani wa kufa TIPPER nyamaza fanya utafiti.Kwanza mtambo wa Tipper haukuweza kutosheleza mahitaji ya nchi toka ifuguliwe hadi kifo chake cha aibu.It was smallest refinery in the world but also was too old.
Tipper ilikufa kwa hiyo mikataba mibovu,alipotoka Kambarage ma Taliani wakatumia upungufu ulio kwenye mikataba wakachuma pesa nyingi tu,tukikopa kama nchi kukarabati mitambo ya miaka 40,na hiyo pesa inaishia kwao wala haikuja kukarabati TIPPER alioiacha Nyerere.
Benki ya dunia kwa ubora wake akagundua janja ya nyani akajiondoa kufadhili au kukopesha TIPPER. nao mafia Italy walijiondoa wakauza hisa zake kwa kuwa walikuwa ndio wachumia tumbo.Ndio ukawa mwisho TIPPER.
Mtaliani anasimamiwa na nchi au watu makini sio waomba scholarship ya mwanae au kufadhili harusi ya mwanae.
uko sahihi kabisa kuna mzee mmoja alikua anafanyakazi mule ndani alinisimulia alisikitika sana kuwa sasa tiper watakua wanafanya storage tuAch uongo, serikali haikutaifisha hicho kiwanda. Nakumbuka wakati ule iliamuliwa kiwanda kifungwe na kigeuzwe kuwa storage facility ya mafuta yaliyosafishwa. Hoja za kifisadi zilitolewa wakati ule kuwa Msumbiji na Afrika Kusini kuna refinery kubwa ambazo zitahudumia mpaka huku kwetu, kulikuwa na malumbano makali wazalendo wakipinga na wahujumu ndani ya serikali na washirika wao nje ya serikali wakishabikia Tipper ifungwe isisafishe mafuta. Hadi wakati kinafungwa kiwanda hicho kilikuwa mali ya ubia kati ya Italia na Tanzania.
Uamuzi wa kukifunga haukuwa wa busara bali uligubikwa na ufisadi na sindicate iliyolenga kuifanya Tanzaniaiwe tegemezi wa mafuta yaliyosafishwa nje ya nchi.
mkapaNaunga mkono hoja.
Tusimung'unye maneno, Rais Mwinyi ndiye aliyeuza kiwanda cha TIPER.
tiper imekufa kipindi cha mkapaTipper ilikufa toka enzi za Nyerere.
Magufuli ndiye kazuwia mkataba wa kufufuliwa tipper na wawekezaji.
Kwa serikali ipi..hii ya sa100 ya wapiga dili...tegemea maumivu hao jamaa na genge lao la wezi wanawawza upigaji tu.Ni wakati muafaka kwa serikali kufikiria kufufua kiwanda hiki au kutafuta wawekezaji kujenga kiwanda kipya cha kusafisha mafuta.
Wacha porojo mzee wetu, kile kiwanda hakikfungwa kwa sababu kilikuwa hakitoshelezi, bali kilifungwa kwa msukumo wa IMF. Kiwanda kilipojengwa mwaka 1965 kilikuwa kinatosheleza kabisa mahitaji ya nchi ambayo wakati huo ilikuwa na watu kama milioni 14 tu, ila kadri siku zilivyoenda, idadi ya watanzania iliongezeka na mahitaji ya mafuta pia yaliongezeka ndipo TPDC ikaanza kuwa inaagiza mafuta nje. Kilipojengwa mwaka 1963 haikuwa na maana kitakuwa hivyo hivyo bali ilitegemewa kuwa kitakuwa kinapanuliwa kadri mahitaji yanapoongezeka, ila waswahili tukakikalia kama ndiyo kimefikia mwisho, na kuanza kulalamika kuwa hakitoshlezi badala ya kufikiria namna ya kukipanua. Basi wajanja wakatuambia tuuze, nasi tukaingia kichwa kichwa tu kwa vile tulikuwa wavivu wa kufikiri.W
Kama hujui undani wa kufa TIPPER nyamaza fanya utafiti.Kwanza mtambo wa Tipper haukuweza kutosheleza mahitaji ya nchi toka ifuguliwe hadi kifo chake cha aibu.It was smallest refinery in the world but also was too old.
Tipper ilikufa kwa hiyo mikataba mibovu,alipotoka Kambarage ma Taliani wakatumia upungufu ulio kwenye mikataba wakachuma pesa nyingi tu,tukikopa kama nchi kukarabati mitambo ya miaka 40,na hiyo pesa inaishia kwao wala haikuja kukarabati TIPPER alioiacha Nyerere.
Benki ya dunia kwa ubora wake akagundua janja ya nyani akajiondoa kufadhili au kukopesha TIPPER. nao mafia Italy walijiondoa wakauza hisa zake kwa kuwa walikuwa ndio wachumia tumbo.Ndio ukawa mwisho TIPPER.
Mtaliani anasimamiwa na nchi au watu makini sio waomba scholarship ya mwanae au kufadhili harusi ya mwanae.
lakini tiper ingekuwepo ingesaidia kupunguza gap japo kwa icho kidogo wanachozalisha na tungekua na mafuta ya kutosha tofauti na huu uhuni unaofanyika sasaMambo mengine ni ya kujifurahisha tu.
TIPER ilikuwa na uwezo wa kuchakata tone laki sita ya mafuta ghafi kwa mwaka.
Ikaongezewa uwezo mpaka tones laki 7.5 ya kuchakata mafuta ghafi kabla ya kuacha uzalishaji.
Tonnes laki 7.5 ya mafuta ghafi kwa mwaka ni sawa litres million 680 za crude oil. Kwenye crude of barrel kuna litre 153👇na unapata product zifuatazo.
View attachment 2211911
Hizo ni kwa refineries za kisasa ambazo zinaweza chakata mafuta yenye API gravity kubwa. Kwa technology ya TIPER percentage is even lower; hata ulaya refiniries zilizokuwa na technology ya miaka ya 1960’s nyingi zishafungwa not only zinauwezo mdogo wa kuchuja crude oil but also very unfriendly to the environment.
Tanzania ya leo inamahitaji ya mafuta takribani litre billion 3.5 mpaka bullion 4, TIPER mpaka inafungwa ilikuwa na uwezo wa kuzalisha 544 million litres at maximum (it could be lower given its technology).
That’s is to say kusema TIPER ingekuwa mwarobani wa tatizo la mafuta is simply short sighted uwezo wa TIPER wa kuzalisha na mahitaji ya nchi ni drop in the ocean.
Besides kinachoendelea kwenye soko la mafuta on political side of things it has nothing to do with refineries. Na kujenga refiniries kama bwala la umeme na reli tu mshike mshike wake sio mdogo; kweli tuongelee mambo ya Oil refiniries investment zenye uwezo wa kuchakata mafuta ya Tanzania tu.
Kuna wakati embu tuwe serious on what we can do and what we can’t kwa mapato yetu ya sasa.
Sometimes akili zetu zinatutosha wenyewe; unahitaji TIPER iongeze uwezo wake mara saba ili kuweza kuhudumia mahitaji ya Tanzania. Sasa tunajua gharama ya size hiyo ya refinery kweli au tunajifurahisha.
Zambia wanacho hawakuua kilijengwa same time na chetu
Cost ya kukikarabati sio kujenga kiwanda kipya zinahitajika dola milioni 500 hawana wanahaha kutafuta private investors!!
Kuna biashara Serikali haiwezi fanya Haina pesa za hiyo biashara
Kiwanda cha Tipper waitaliano wa Agip ndio waliwekeza Serikali ikajifanya kutaifisha limewatokea kooni
Private sector capital ina raise capital markets za kimataifa.Miradi kama hiyo Serikali haiiwezi kutegemea ukusanye Kodi dola milioni 500 kwenye mauzo ya nje ya mazao kama ya korosho sijui pamba sio rahisi!!
Mwenye nguvu mpishe Serikali irudishe kwa Agip hicho kiwanda cha kusafisha mafuta Serikali haiwezi kuwa na mtaji wa kufufuka hicho kiwanda ni lofa
NYERERE alijenga Viwanda vya Kutosha Wakaja Wanyang'anyi Wakavipora Vyote Leo Kiwanda cha Tanganyika Packers Pamekuwa KANISA
Leo Kiwanda cha URAFIKI wachina Wanauza MAUA
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
[emoji1]Magufuli alikiua