Kiongozi aliyehujumu na kuua kiwanda cha TIPER ni wa ovyo kuwahi kutokea Tanzania

Kiongozi aliyehujumu na kuua kiwanda cha TIPER ni wa ovyo kuwahi kutokea Tanzania

Katika utawala wa Mwalimu Nyerere Tanzania tulikuwa na kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi ambacho kilikuwa kinazalisha petroli, dizeli mafuta ya taa, lami nk. Kwa hiyo nchi ilikuwa ikinunua mafuta ghafi kwa bei nafuu na kuyasafisha kwa gharama nafuu na kufanya bei ya mafuta kuwa nafuu kwa walaji.

Ulipoingia MZIMU wa ubinafsishaji kiwanda kikafa tukaanza kununua mafuta yaliyosafishwa. Hapa ndipo tulipopotea maboya! Sasa tunakula jeuri yetu kwa kukomolewa kwa bei ghali ya mafuta. Laiti kingekuwepo kiwanda chetu kile tusingeumia kiasi hiki!
Gharama zote zinazolikabili Taifa letu leo na kupelekea ugumu wa maisha haya tuliyonayo, zinatokana na UBINAFSISHAJI, hakuna kingine
 
Ila serikali chini ya CCM imetukosea sana watanzania, Tanzania ilikuwa imesheheni viwanda vingi mno ila hadi sasa 90% ya viwanda hivyo vimebakia magofu…

Mfano mkoa wa Mara ulikuwa na MUTEX, MARA OIL, Kiwanda cha mkonge, kiwanda cha ngozi vyote vishajifia..
Mugango ginnery Bado IPO au ndipo ilipo Halmashauri ya Musoma Vijijini?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Chadema ipi iliyosambaratika?
Ingesambaratika mngetumia Bunduki kuwazuia hata mikutano yao? unahangaishaje Dola kupambana na chama kilicho sambaratika
Kumbe unajuwaa bunduki zilitumika, tuambie wakati wa utawala wa nani ule?
 
Gharama zote zinazolikabili Taifa letu leo na kupelekea ugumu wa maisha haya tuliyonayo, zinatokana na UBINAFSISHAJI, hakuna kingine
Kabla ya kubinafsishwa tulikuwa masikini wa mwisho duniani, hata sabuni ya kukogea kwa foleni. Unayajuwa hayo? Babako au babu yako hawakuhadithia?
 
Kabla ya kubinafsishwa tulikuwa masikini wa mwisho duniani, hata sabuni ya kukogea kwa foleni. Unayajuwa hayo? Babako au babu yako hawakuhadithia?
Mama tunapitia wakati mgumu sana kipindi hichi cha Muigiza filamu bi mikopo we hujui?

Hivi huu uzee wako unakufunza ujinga?
 
Bado uwezo tunao,kama tumeweza kukomaa mpk Bwawa la Nyerere likafika hapo lilipo pamoja na SGR,ni maswala ya uamuzi tu,kikubwa ni kupigana kwa nguvu zote na wezi wachache wenye mpango wa kujinufaisha kwa maslahi yao binafsi...
 
Back
Top Bottom