Kiongozi aliyehujumu na kuua kiwanda cha TIPER ni wa ovyo kuwahi kutokea Tanzania

Gharama zote zinazolikabili Taifa letu leo na kupelekea ugumu wa maisha haya tuliyonayo, zinatokana na UBINAFSISHAJI, hakuna kingine
 
Mugango ginnery Bado IPO au ndipo ilipo Halmashauri ya Musoma Vijijini?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Chadema ipi iliyosambaratika?
Ingesambaratika mngetumia Bunduki kuwazuia hata mikutano yao? unahangaishaje Dola kupambana na chama kilicho sambaratika
Kumbe unajuwaa bunduki zilitumika, tuambie wakati wa utawala wa nani ule?
 
Gharama zote zinazolikabili Taifa letu leo na kupelekea ugumu wa maisha haya tuliyonayo, zinatokana na UBINAFSISHAJI, hakuna kingine
Kabla ya kubinafsishwa tulikuwa masikini wa mwisho duniani, hata sabuni ya kukogea kwa foleni. Unayajuwa hayo? Babako au babu yako hawakuhadithia?
 
Kabla ya kubinafsishwa tulikuwa masikini wa mwisho duniani, hata sabuni ya kukogea kwa foleni. Unayajuwa hayo? Babako au babu yako hawakuhadithia?
Mama tunapitia wakati mgumu sana kipindi hichi cha Muigiza filamu bi mikopo we hujui?

Hivi huu uzee wako unakufunza ujinga?
 
Mama Nyerere hanaga hata Zuri moja kwako.? Kweli mlipanga foreni lakini ndio yalikuwa maisha yenu ya kudumu au mpito?
"foreni" ndiyo nini wewe?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Wakati mgumu unaouptia chanzo chake si mama.

Mtu anakopa kujenga reli anakwenda kujenga eyapoti kijijini kwao, dogo hilo?
Mama ni kiongozi, we unalia unasema Ukraine unalia unasema corona wananchi wafanyeje?
 
Bado uwezo tunao,kama tumeweza kukomaa mpk Bwawa la Nyerere likafika hapo lilipo pamoja na SGR,ni maswala ya uamuzi tu,kikubwa ni kupigana kwa nguvu zote na wezi wachache wenye mpango wa kujinufaisha kwa maslahi yao binafsi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…