Kiongozi analazimika kufuatana na Mwenza wake kwenye safari za kikazi na shughuli za Kitaifa nje na ndani ya nchi?

Mh. H Mwinyi mkewe ni pembeni yake hamuachi kabisa. Ila yeye ameamua kuwa na mke mmoja tu Miriam na wanapendana Sana kidhati.

Safi sana.....
 
[emoji849][emoji849][emoji849] kwahiyo zamu ina angukia siku mbaya?.nauliza tu!

Hahahah kwa hiyo zamu huwa ina angukia kila akienda kwenye shughuli za kitaifa?
 
Sio Lazima
 
Kwa hiyo alikuwa haambatani na mkewe kwenye shughuli nyingi za kitaifa na kimataifa? Umeona ilikuwa sawa kutofatana na mkewe?
Mkuu unapochangia hoja ni vema kuisoma kwanza uielewe na pia fanyia utafiti kwanza mwenyewe kabla ya kuchangia, Madiba (rip)baada ya kutolewa jela pale Paarl, aliambatana na Namzamo(rip)kwa engagements chache na baada ya hapo aliambatana zaidi na Zinzi (daughter)na huu ni uamuzi wake na haki yake as far as haiathiri nchi, President Mugabe kaambatana sana Grace (wife)na matokeo yake nchi imepoteza usd nyingi tu(ubadhilifu),our president kutoambatana na mme wake kunaisadia nchi maana we serve some usd!
 
How? Kwamba baba samia yeye huwa anapuna mapene mengi akiambatana na mkewe?? Be realistic. Kwamba Grace Mugabe alisababisha hasara kwa sababu alikuwa ananunua lipstick za gharama, so unataka kuniambia na baba Samia pia atanunua lipstick? Daaaaaaah
 
Huyo hanaga mme ni freelancer
 
How? Kwamba baba samia yeye huwa anapuna mapene mengi akiambatana na mkewe?? Be realistic. Kwamba Grace Mugabe alisababisha hasara kwa sababu alikuwa ananunua lipstick za gharama, so unataka kuniambia na baba Samia pia atanunua lipstick? Daaaaaaah
Ulichokiandika hapo juu ni upumbavu, hoja zingine kama huzielewi ziache hivyo hivyo.
 
Kikwete na mkewe
Mwnyi na mkewe
Ssh na mmewe
Labda ni utamaduni wa watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…