Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Ndiyo maana S.A kuna maendeleoSio lazima kufuatana Madiba (rip)aliapishwa kuwa president akiwa ameongozana na binti yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo maana S.A kuna maendeleoSio lazima kufuatana Madiba (rip)aliapishwa kuwa president akiwa ameongozana na binti yake
Tena wana migogoro ya hatari snKwa hiyo wanao ongozana na wame au wake zao hawana shida kwenye ndoa zao na kwao mambo ni mteremko?
Hapana Mkuu Haya Ya KawaidaMbona kama umeumia?
Sio LazimaHili swali nimekuwa nikijiuliza ikiwa ni lazima au ni busara kiongozi kufuatana au kuambatana na mwenza wake akiwa kwenye shughuli muhimu za kitaifa ndani na nje ya nchi, hili ni jambo la busara au la lazima?
Yani Viongozi wenzio uko duniani wanakuona kila leo kama uko single wanashindwa kujua au kuuliza yuko wapi mkeo au mumeo! Wakati wa kutambulishana unajikuta unatambulusha huyu ni body guard huyu ni mlinzi wangu huyu ni msaidizi wangu wa hotuba au huyu ni waziri wangu, wanasubiri kusikia huyu ni mke wangu au huyu ni mume wangu lakini olaaaaahhhh
Hili ni jambo liko sawa? Kiongozi mkubwa kutotambua uwepo wa mwenza wake hata kwa kuambatana nae ni sawa? Au ni sawa kiongozi mkubwa hata akiwa single ni sawa tuu hakuna shida yeyote?
Au viongozi wakubwa huwa hawatengewi posho na matunzo kwaajili ya wenza wao hivyo ni gharama kiongozi kuambatana na wenza wao?
Ikiwa kiongozi anapata dharura ambayo mume au mke anatakiwa ndio atatue wa kwanza au kujua wa kwanza inakuwaje hapo?
Mkuu unamjua Ramadhani Kingai?Hangaya Ni mke Wa tatu Kwa mumewe
Mkuu unapochangia hoja ni vema kuisoma kwanza uielewe na pia fanyia utafiti kwanza mwenyewe kabla ya kuchangia, Madiba (rip)baada ya kutolewa jela pale Paarl, aliambatana na Namzamo(rip)kwa engagements chache na baada ya hapo aliambatana zaidi na Zinzi (daughter)na huu ni uamuzi wake na haki yake as far as haiathiri nchi, President Mugabe kaambatana sana Grace (wife)na matokeo yake nchi imepoteza usd nyingi tu(ubadhilifu),our president kutoambatana na mme wake kunaisadia nchi maana we serve some usd!Kwa hiyo alikuwa haambatani na mkewe kwenye shughuli nyingi za kitaifa na kimataifa? Umeona ilikuwa sawa kutofatana na mkewe?
How? Kwamba baba samia yeye huwa anapuna mapene mengi akiambatana na mkewe?? Be realistic. Kwamba Grace Mugabe alisababisha hasara kwa sababu alikuwa ananunua lipstick za gharama, so unataka kuniambia na baba Samia pia atanunua lipstick? DaaaaaaahMkuu unapochangia hoja ni vema kuisoma kwanza uielewe na pia fanyia utafiti kwanza mwenyewe kabla ya kuchangia, Madiba (rip)baada ya kutolewa jela pale Paarl, aliambatana na Namzamo(rip)kwa engagements chache na baada ya hapo aliambatana zaidi na Zinzi (daughter)na huu ni uamuzi wake na haki yake as far as haiathiri nchi, President Mugabe kaambatana sana Grace (wife)na matokeo yake nchi imepoteza usd nyingi tu(ubadhilifu),our president kutoambatana na mme wake kunaisadia nchi maana we serve some usd!
Huyo hanaga mme ni freelancerHili swali nimekuwa nikijiuliza ikiwa ni lazima au ni busara kiongozi kufuatana au kuambatana na mwenza wake akiwa kwenye shughuli muhimu za kitaifa ndani na nje ya nchi, hili ni jambo la busara au la lazima?
Yani Viongozi wenzio uko duniani wanakuona kila leo kama uko single wanashindwa kujua au kuuliza yuko wapi mkeo au mumeo! Wakati wa kutambulishana unajikuta unatambulusha huyu ni body guard huyu ni mlinzi wangu huyu ni msaidizi wangu wa hotuba au huyu ni waziri wangu, wanasubiri kusikia huyu ni mke wangu au huyu ni mume wangu lakini olaaaaahhhh
Hili ni jambo liko sawa? Kiongozi mkubwa kutotambua uwepo wa mwenza wake hata kwa kuambatana nae ni sawa? Au ni sawa kiongozi mkubwa hata akiwa single ni sawa tuu hakuna shida yeyote?
Au viongozi wakubwa huwa hawatengewi posho na matunzo kwaajili ya wenza wao hivyo ni gharama kiongozi kuambatana na wenza wao?
Ikiwa kiongozi anapata dharura ambayo mume au mke anatakiwa ndio atatue wa kwanza au kujua wa kwanza inakuwaje hapo?
Ulichokiandika hapo juu ni upumbavu, hoja zingine kama huzielewi ziache hivyo hivyo.How? Kwamba baba samia yeye huwa anapuna mapene mengi akiambatana na mkewe?? Be realistic. Kwamba Grace Mugabe alisababisha hasara kwa sababu alikuwa ananunua lipstick za gharama, so unataka kuniambia na baba Samia pia atanunua lipstick? Daaaaaaah