Kiongozi anapohamasisha ongezeko la bei ya vyakula, anaelewa Madhara yake?

Msikilize JPM vizuri, ''na asiyefanya kazi asile.'' wanaokwenda kulima sio wajinga, wanafahamu kwamba wakivuna ni halali yao kupata bei nzuri. Huo ni wito kwa Watanzania kwenda kufanya kazi bila kutegemea sadakarawe.
Bei nzuri sio ya kuwatwanga wananchi kama rais anavyodai. Sio kila mtu ni mkulima na sio wakulima wote wanaolima mazao yote, mengine wananunua. Rais kazi yake ni kufanya maisha yawe rahisi kwa wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…