Kiongozi anapohamasisha ongezeko la bei ya vyakula, anaelewa Madhara yake?


Yeyey anakula na kusaza hizo shida zenu pambaneni nazo wenyewe.
 
Aliyeshiba Hamjui Mwenye Njaa .

Mtu akishiba hamjui mwenye njaa aishie mjini. Nchi nyingi huja na sera ya kuhakikisha mkulima apata bei nzuri ya mazao yake na wakati huo huo serikali huja na mpangoruzuku wa kupoza bei kwa walaji wa mjini kwa kutoa bei elekezi iliyofidiwa na serikali hasahasa kwa vyakula muhimu .

Kauli hii ya serikali ya CCM Mpya maana yake haiwajali wananchi wanyonge wa mijini.
 
Hata nimeona huyu poyoyo, alitaka rais aseme Nini au ashauri wakulima wauze kwa Bei ya hasara? Kila mwaka wanauza mazao kwa hasara yeye Kama mkuu wa nchi Hana budi kutetea hili tabaka la walala hoi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Lakini wastaafu wenye kuzungushwa mafao yao miaka na miaka wao sio walalahoi ila ni walala hai.
 

Ulishamsikia siku za karibuni akiongelea suala la korosho?
 

Sasa taratibu naanza Kuamini kuwa wengi ya wale wanaomchukia Rais Dkt. Magufuli huwa wanakuwa wanakurupuka katika Kumuelewa asemacho.
 
Sasa taratibu naanza Kuamini kuwa wengi ya wale wanaomchukia Rais Dkt. Magufuli huwa wanakuwa wanakurupuka katika Kumuelewa asemacho.
Mnoo....alfu hawajui hii "kila mbuzi atakula kulingana na urefu wa kamba yake"
 
Mda wa kuwaheshimu wakulima ndio huu wafanye juu chini mpka tuite mmaa
 
Mada ni Bei mazao ya wakulima Hilo la wastaafu linakujaje kwenye Bei ya mazao ya mtu aliyelima? Huyu mkulima hajawahi kujulishwa mshahara wa huyo mstaafu wakati anafanya kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Naunga mkono hoja maana Mkulima hayo mazao yake hua anayanunua mwenyewe kwa pesa zake za mfukoni hao wastaafu wenyewe mazao hua wananunua kwa wastaafu wenzao.
 
Achana naye huyo poyoyo, nani anunue kwa bei ya juu wakati watumishi hawana nyongeza ya mshahara? Mwaka huu raia wote tumevuna, kama hukulima mahindi, ulilima mpunga na wote wamevuna vizuri mwaka huu mpaka mjinga amevuna huku kwetu! Watamwuzia nani hiyo bei ya juu? Mpunga wenyewe sasa hivi wanauza 40,000/= na wateja wanagombaniwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa anapenda attention kishenzi yani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…