Kiongozi anashindwa uchaguzi Zambia anaisingizia Tanzania, hii ni maajabu aise

Kiongozi anashindwa uchaguzi Zambia anaisingizia Tanzania, hii ni maajabu aise

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Yuko wapi mh. Brian Muntayala Mundubile kiongozi wa upinzani Zambia alieisingizia Tanzania kufuata kukataliwa kwake na wananchi wapiga kura wa Zambia?

Halafu,
hivi kwanini viongozi wa wa upinzani Africa wakisense kukataliwa na wananchi kupitia sanduku la kura lazima watoe visingizio visivyo na mashiko kama vile kiongozi wa upinzani Zambia mh Brian Muntayala Mundubile?

Yaani mtu huna agenda wala huna sera za mageuzi zenye kugusa maisha ya wananchi, utachaguliwa na nani kwa mfano?

Mtu umekalia kulalamika na kulaumu viongozi wa serikali, ambao wao wako bize kuwatumikia wananchi na kipindi cha uchaguzi wanaeleza walichofanya kipindi kilichopita na mipango mikakati yao katika kipindi kijacho endapo watapatiwa fursa nyingine ya uongozi. Mpinzani yeye ameng'ang'ana tu na visingizio visivyo na mbele wala nyuma, akiashiria kushindwa uchaguzi hata kabla haujaanza, kutafuta kiki na public sympathy.

Na kile chama cha siasa kilichokua kina mshangilia sana Tanzania kinasemaje kwasasa?🐒

Mungu Ibariki Tanzania

images (2).jpeg
 
Halafu unamuuliza ni wapi Watanzania walipiga kura unakuta hana majibu zaidi ya kukodoa macho tu kama Mjusi aliyebanwa na mlango.

Halafu utashangaa CHADEMA wanaunga mkono ujinga huo maana akili zao wanazijua wao wenyewe 😄😄
 
Aise upinzani wa Africa ni kituko sana aise dah,

umekataliwa na wapiga kura wa Zambia, unaikoromea Tanzania.
Kushindwa uchaguzi ni kitu mbaya sana aise 🤣
 
Unashangaa nini wewe mlamba viatu.... unalipwa buku 7 kupush #
nashanga mh Brian Muntayala Mundubile kiongozi wa upinzani Zambia, eti anakataliwa na waZambia wenzake anaisingizia Tanzania 🤣

kumbe hana sera wala hoja za mageuzi dhidi ya wananchi na wapiga kura wa Zambia, na matokeo yake wakampiga chini 🐒
 
Unafikilia ni kwanini huyo rais alikuja bongo before uchaguzi???? Ningekwambia sema huna akili
Marais wote kote ulimwenguni,
wako huru kutembeleana na kujenga mahusiano ya kidiplomasia, kiuchumi, kijamii na kisiasa gentleman, bila kujali hisia zako au za mdau mwingine yeyote yule wa Jf 🐒
 
Yes,
nadhani hiyo ndio haswa busara ambayo anafaa kuitumia.

Kujipanga upya kwaajili ya wakati mwingine 🐒
Pamoja na kugalagazwa kote bado JINGA linajiandaa kwenda MAHAKAMANI! .... NA kuna tetesi anataka kukimbilia kwa wazungu! ... WAZUNGU WATAUNGA MKONO KWAKUWA LENGO LAO NI KUHAKIKISHA TUNAISHI AFRICA KAMA VICHAA!
 
sasa 60% kwa 38% mbona mbali sana aise 🤣

hakuna kitu mahakama inaweza kufanya kwenye matokeo hayo
 
sasa 60% kwa 38% mbona mbali sana aise 🤣

hakuna kitu mahakama inaweza kufanya kwenye matokeo hayo
Nyomi za raia wanaotafuta KOMEDI wajichekee HUWA ZINAWADANGANYA SANA WANASIASA!
Mtu anaweza kuwa anachekesha sasa kwanini hata mimi nisiye na nia ya kumpigia kura nisiende kuvunjika mbavu BURE! 😅
 
Back
Top Bottom