Kiongozi anashindwa uchaguzi Zambia anaisingizia Tanzania, hii ni maajabu aise

Kiongozi anashindwa uchaguzi Zambia anaisingizia Tanzania, hii ni maajabu aise

Bado Kenya
Kuna majanga makubwa

Ktk Uchaguzi unaokuja✍️

Kenya wamefanya Mabadiriko mengi kwenye Sheria zao za Uchaguzi mpaka Katiba yao.lkn

Ndio kwanza majanga
yanadhidi Mabadiriko yoyote ya Sheria au chengine yanatakiwa yaanzie kwako kwanza

Je mwenyewe uko tayali Kushindwa au wewe ndio lazima Ushinde🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎✍️
 
Nyomi za raia wanaotafuta KOMEDI wajichekee HUWA ZINAWADANGANYA SANA WANASIASA!
Mtu anaweza kuwa anachekesha sasa kwanini hata mimi nisiye na nia ya kumpigia kura nisiende kuvunjika mbavu BURE! 😅
kwahiyo unaenda kushuhudia anavyodanganya majaji kwamba 60% ya kura ni zake na sio za aliemshinda mchana kweupe?🤣
 
Bado Kenya
Kuna majanga makubwa

Ktk Uchaguzi unaokuja✍️

Kenya wamefanya Mabadiriko mengi kwenye Sheria zao za Uchaguzi mpaka Katiba yao.lkn

Ndio kwanza majanga
yanadhidi Mabadiriko yoyote ya Sheria au chengine yanatakiwa yaanzie kwako kwanza

Je mwenyewe uko tayali Kushindwa au wewe ndio lazima Ushinde🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎✍️
NAANDAA YouTube TV yangu nianze kulipa kisasi fujo walizotufanyia mpaka majanga yakatukuta! 😠
 
Bado Kenya
Kuna majanga makubwa

Ktk Uchaguzi unaokuja✍️

Kenya wamefanya Mabadiriko mengi kwenye Sheria zao za Uchaguzi mpaka Katiba yao.lkn

Ndio kwanza majanga
yanadhidi Mabadiriko yoyote ya Sheria au chengine yanatakiwa yaanzie kwako kwanza

Je mwenyewe uko tayali Kushindwa au wewe ndio lazima Ushinde🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎✍️
Gentleman,
ni muhimu sana watu kua na democratic mindset,
na kukubali kwenda kwenye uchaguzi kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi, lakini pia bila masharti binafsi, bila kususa au kusingizia nchi jirani na itapendeza zaidi 🐒
 
Unafikilia ni kwanini huyo rais alikuja bongo before uchaguzi???? Ningekwambia sema huna akili
Miaka mingapi imepita amekuja Tanzania? Yaani daah wakati mwingine bhana... kwahiyo angeshida angesema kwasababu kiongozi Hichilema alikuja Tanzania>
 
African script inafanya yake:
  • Uganda - ✔️
  • Cameroon -✔️
  • Tanzania - ✔️
  • Côte d’Ivoire - ✔️
  • Republic of the Congo - ✔️
  • Gambia -✔️
  • South Sudan - ✔️
  • Libya - ✔️
  • Zambia - ✔️
  • Kenya - 🕣 Loading... Gachagua na timu yake watalia kilio cha mbwa koko..
 
In fact,
ni timu yake ndio watalia zaidi kwasababu yeye hagombei kwakua hana sifa za kikatiba kuwania nafasi yoyote ya uongozi wa umma 2027.

watalia na kujuta mno, zaidi ya mh Brian Muntayala Mundubile wa Zambia 🐒
 
African script inafanya yake:
  • Uganda - ✔️
  • Cameroon -✔️
  • Tanzania - ✔️
  • Côte d’Ivoire - ✔️
  • Republic of the Congo - ✔️
  • Gambia -✔️
  • South Sudan - ✔️
  • Libya - ✔️
  • Zambia - ✔️
  • Kenya - 🕣 Loading... Gachagua na timu yake watalia kilio cha mbwa koko..
... Sio lazima tufikie 100% ya DEMOKRASIA zinazowashinda mpaka MATAJIRI waliozianzisha!
KILA MTU ANATAKA KULA MAJANI YA JUU, LAKINI HATUWEZI WOTE KUWA JUU!
TUJENGE TU CHUMI ZETU KIASI KUWA JUU IWE NI KWA WAPENDA KAZI YA ZIADA! (WANYAMWEZI WA KUWAACHIA VILOBA!) 😅
 
Wew
e unadhani kwanini asiwasingizie majirani zetu Kenya au Uganda?.
 
Aise upinzani wa Africa ni kituko sana aise dah,

umekataliwa na wapiga kura wa Zambia, unaikoromea Tanzania.
Kushindwa uchaguzi ni kitu mbaya sana aise 🤣
Tuliwahi kusoma zamani kuwa "Mfa maji haishi kutapatapa"
 
sasa 60% kwa 38% mbona mbali sana aise 🤣

hakuna kitu mahakama inaweza kufanya kwenye matokeo hayo
Mbona Kuna mahali mtu inasemekana alishinda Kwa asilimia 98 ila bado anamhara mpinzani wake!
 
Mbona Kuna mahali mtu inasemekana alishinda Kwa asilimia 98 ila bado anamhara mpinzani wake!
labda ungeiandikia uzi mahususi hiyo porojo yako jukwaani na itapendeza zaidi gentleman 🐒
 
Yuko wapi mh. Brian Muntayala Mundubile kiongozi wa upinzani Zambia alieisingizia Tanzania kufuata kukataliwa kwake na wananchi wapiga kura wa Zambia?

Halafu,
hivi kwanini viongozi wa wa upinzani Africa wakisense kukataliwa na wananchi kupitia sanduku la kura lazima watoe visingizio visivyo na mashiko kama vile kiongozi wa upinzani Zambia mh Brian Muntayala Mundubile?

Yaani mtu huna agenda wala huna sera za mageuzi zenye kugusa maisha ya wananchi, utachaguliwa na nani kwa mfano?

Mtu umekalia kulalamika na kulaumu viongozi wa serikali, ambao wao wako bize kuwatumikia wananchi na kipindi cha uchaguzi wanaeleza walichofanya kipindi kilichopita na mipango mikakati yao katika kipindi kijacho endapo watapatiwa fursa nyingine ya uongozi. Mpinzani yeye ameng'ang'ana tu na visingizio visivyo na mbele wala nyuma, akiashiria kushindwa uchaguzi hata kabla haujaanza, kutafuta kiki na public sympathy.

Na kile chama cha siasa kilichokua kina mshangilia sana Tanzania kinasemaje kwasasa?🐒

Mungu Ibariki Tanzania

Kwanini siku hizi Tanzania inatajwa kwenye mambo ya hovyohovyo? Sifa hii mbaya nani kaisababisha?
 
Kwanini siku hizi Tanzania inatajwa kwenye mambo ya hovyohovyo? Sifa hii mbaya nani kaisababisha?
kwani siku zote wanaosemse kushindwa vitu kama uchaguzi huo wanaeleza mambo ya maana gentleman?🐒
 
Back
Top Bottom