GE2025 Kiongozi huyu ni hatari kwa mustakabali wa chama na Taifa!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Bhaghosha

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
240
Reaction score
197
a. Aliingia kupitia mtandao

b. Akamtema namba mbili wake katika kipindi alichokuwa anahitajika zaidi

c. Uchaguzi uliofuata akatumia familia kufanya kampeni nje ya mfumo wa chama.

d. Alitumia muda mwingi nje ya nchi

e. Akamuaandaa shemeji yake kuwa kumrithi wa nafasi yake. Alimanusra chama kife.

f. Familia yake iko bungeni na kwenye kabineti

g. Sasa inajulikana ni bosi wa mkuu wetu

h. Kapiga zengwe kutofuata katiba ya chama katika uteuzi wa mgombea wa chama.

j. inasemekana ni maandalizi ya 2030
 
a. Aliingia kupitia mtandao
b. Akamtema namba mbili wake katika kipindi alichokuwa anahitajika zaidi
c. Uchaguzi uliofuata akatumia familia kufanya kampeni nje ya mfumo wa chama.
d. Alitumia muda mwingi nje ya nchi
e. Akamuaandaa shemeji yake kuwa kumrithi wa nafasi yake. Alimanusra chama kife.
f. Familia yake iko bungeni na kwenye kabineti
g. sasa inajulikana ni mkuu wa mkuu wetu
h. Kapiga zengwe kutofuata katiba ya chama katika uteuzi wa mgombea wa chama.
j. inasemekana ni maandalizi ya 2030
JK akifa,tutapata amani na nchi itatulia

Ule ugonjwa wa tezi dume ,umemchelewesha sana
 
a. Aliingia kupitia mtandao
b. Akamtema namba mbili wake katika kipindi alichokuwa anahitajika zaidi
c. Uchaguzi uliofuata akatumia familia kufanya kampeni nje ya mfumo wa chama.
d. Alitumia muda mwingi nje ya nchi
e. Akamuaandaa shemeji yake kuwa kumrithi wa nafasi yake. Alimanusra chama kife.
f. Familia yake iko bungeni na kwenye kabineti
g. sasa inajulikana ni bosi wa mkuu wetu
h. Kapiga zengwe kutofuata katiba ya chama katika uteuzi wa mgombea wa chama.
j. inasemekana ni maandalizi ya 2030
Nani huyo
 
Tatizo mnavyomuengelea kwa mafumbo ndio anazidi kupata kichwa kuwa ni untouchable.

Dude is over 70, ana hakika gani atafika hiyo 2030 anayoifanyia mpango sababu wa mtoto wake.

Chances are atakata moto kabka hata ya 2030, na hapo ndio itakuwa ukomo wa influence yake.
 
Hii Tania ya kujadili personality za watu kwenye uongozi nilisha kataa!!kama mtu hafai system ilikua wapi kumpa madaraka kiongozi asiefaa!!?

Na kama mligundua hafai kwanini mlimuacha akaendelea madarakani!!?

Tuache ujinga kama kiongozi hafai maana yake na system iliyomteua haifai na Wala asilaumiwe!!
 
a. Aliingia kupitia mtandao
b. Akamtema namba mbili wake katika kipindi alichokuwa anahitajika zaidi
c. Uchaguzi uliofuata akatumia familia kufanya kampeni nje ya mfumo wa chama.
d. Alitumia muda mwingi nje ya nchi
e. Akamuaandaa shemeji yake kuwa kumrithi wa nafasi yake. Alimanusra chama kife.
f. Familia yake iko bungeni na kwenye kabineti
g. sasa inajulikana ni bosi wa mkuu wetu
h. Kapiga zengwe kutofuata katiba ya chama katika uteuzi wa mgombea wa chama.
j. inasemekana ni maandalizi ya 2030
Haya mambo huwezi kuyaona nchini Tanzania.
 
Mtaje kwa Majina kama kweli unafanya HipHop.
downloadfile-2.png
 
Back
Top Bottom