GE2025 Kiongozi huyu ni hatari kwa mustakabali wa chama na Taifa!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kiuwete nanani vile sikumbuki au sijui nachangia nn tena
 
Watabiri mnazidi kuongezeka awamu hii.
Lipo jambo, jambo la majambo litatolea nchi hii.
Kila mwenye kinywa atabaki mdomo wazi. Wengine watalia,wengine watashangaa,wengine watapiga chafya.
ANGUKO NI KUU.
Mn
 
Sidhani...
 
a. Aliingia kupitia mtandao
b. Akamtema namba mbili wake katika kipindi alichokuwa anahitajika zaidi
c. Uchaguzi uliofuata akatumia familia kufanya kampeni nje ya mfumo wa chama.
d. Alitumia muda mwingi nje ya nchi
e. Akamuaandaa shemeji yake kuwa kumrithi wa nafasi yake. Alimanusra chama kife.
f. Familia yake iko bungeni na kwenye kabineti
g. sasa inajulikana ni bosi wa mkuu wetu
h. Kapiga zengwe kutofuata katiba ya chama katika uteuzi wa mgombea wa chama.
j. inasemekana ni maandalizi ya 2030
Nipo hapa nakusikilizieni tu...
 
Hata mafisadi wengi wanaoloweya loweya CCM wana connection naye. Kuna yule fisadi aliyesema mahakama zinapigiwa simu na yule mwingine wa Yanga. Huyu jamaa ana colabo mbaya sana na Tanzania ilianza kuharibika tangu yeye alipoingia madarakani.
 
Inahitajika nguvu ya ziada kumcontrol. Hawa wastaafu enzi ya mzee baba, walipewa role nyingine kabisa. Sasa jamaa kaingia mwili wote kabisa.
 
Mzee mlafi sana halafu ana aibu kabisa
Yeye na Samia hawana hata chembe chembe ya aibu wala kujutia uovu unaotokana na matendo yao. Hawa ni kama wana jadi ya hulka ya namna hiyo.

wanafanya mambo ya hovyo kabisa, huku wakichekacheka na kulaghai watu.
 
Hii Tania ya kujadili personality za watu kwenye uongozi nilisha kataa!!kama mtu hafai system ilikua wapi kumpa madaraka kiongozi asiefaa!!?

Na kama mligundua hafai kwanini mlimuacha akaendelea madarakani!!?

Tuache ujinga kama kiongozi hafai maana yake na system iliyomteua haifai na Wala asilaumiwe!!
Kwani huoni kuwa hiyo 'system' unayo izungumzia wewe ndiyo inayotumiwa na hawa viongozi waovu?
WaTanzania wanatekwa na nani, kwa niaba ya nani?
 
Inahitajika nguvu ya ziada kumcontrol. Hawa wastaafu enzi ya mzee baba, walipewa role nyingine kabisa. Sasa jamaa kaingia mwili wote kabisa.
Huyu Magufuli ndiye alikuwa kiboko yake. Ila mwache ajifanye mjanja tu, kuna siku atajigonga.
 
Yeye na Samia hawana hata chembe chembe ya aibu wala kujutia uovu unaotokana na matendo yao. Hawa ni kama wana jadi ya hulka ya namna hiyo.

wanafanya mambo ya hovyo kabisa, huku wakichekacheka na kulaghai watu.
Upo sahihi mkuu.

Mtu mzima bado anakomaa anashindwa kuwa na aibu au busara anachoangalia ubinafsi tu.
 
Kwani huoni kuwa hiyo 'system' unayo izungumzia wewe ndiyo inayotumiwa na hawa viongozi waovu?
WaTanzania wanatekwa na nani, kwa niaba ya nani?
System imekubali kuwa dekio la wanasiasa na tamaa zao!!?basi hiyo sio system bali compromised evil inayo operate kwenye taifa!

Jambo la kusikitisha mambo yakiwa hivyo!!

Ni aibu kuu!!
 
Huyu Magufuli ndiye alikuwa kiboko yake. Ila mwache ajifanye mjanja tu, kuna siku atajigonga.
Huyu Kikwete anatakiwa kuwekwa adabu; sasa anajiona yeye ndiye yeye wakati hana akili za kutosha kushawishi yeyote. Kipaji pekee alicho jaliwa ni kujichekesha chekesha tu na kufanya mambo kilaghai basi!

Inafaa patokee mtu amwondolee uvivu na kumpa ukweli wake wazi.
 
Back
Top Bottom