Unayo iita 'System' inatokana na viongozi hao hao. Pakitokea kuwepo kiongozi mwovu, atahakikisha anateua viongozi wa 'system' hiyo waovu, ili wamfanyie matakwa yake.System imekubali kuwa dekio la wanasiasa na tamaa zao!!?basi hiyo sio system bali compromised evil inayo operate kwenye taifa!
Jambo la kusikitisha mambo yakiwa hivyo!!
Ni aibu kuu!!
Samia kahangaika na kumtafuta mkuu wa TISS; sababu ilikuwa ni hiyo hiyo.
Kukitokea tukabahatisha kumpata kiongozi anayepambania maslahi ya nchi, mara moja utaona mabadiliko katika 'system' kuwa na mwelekeo huo huo.
Kwa hiyo, ufumbuzi wa haya yote, ni kuwakata viongozi kama huyu Samia ambaye anapambania maslahi yake na kundi linalomhusu yeye, na kusahau maslahi ya taifa kwa ujumla wake.