GE2025 Kiongozi huyu ni hatari kwa mustakabali wa chama na Taifa!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
System imekubali kuwa dekio la wanasiasa na tamaa zao!!?basi hiyo sio system bali compromised evil inayo operate kwenye taifa!

Jambo la kusikitisha mambo yakiwa hivyo!!

Ni aibu kuu!!
Unayo iita 'System' inatokana na viongozi hao hao. Pakitokea kuwepo kiongozi mwovu, atahakikisha anateua viongozi wa 'system' hiyo waovu, ili wamfanyie matakwa yake.

Samia kahangaika na kumtafuta mkuu wa TISS; sababu ilikuwa ni hiyo hiyo.
Kukitokea tukabahatisha kumpata kiongozi anayepambania maslahi ya nchi, mara moja utaona mabadiliko katika 'system' kuwa na mwelekeo huo huo.

Kwa hiyo, ufumbuzi wa haya yote, ni kuwakata viongozi kama huyu Samia ambaye anapambania maslahi yake na kundi linalomhusu yeye, na kusahau maslahi ya taifa kwa ujumla wake.
 
Acheni unafiki tokeni hadharani mseme kunatatizo lakiimani taratibu nagengelake walinunua wapinzani wakaacha ubunge kupitia upinzani na kuchukua form ya chama chetu wakashinda kwa nguvu na ukwaa uwaziri je katiba ya chama haikukiukwa?ilimtu agombee anatakiwa kuwa namuda gani kwa chama?ilimtu agombee anatakiwa anamchqngo kwa chamq.je waliotoka upinzani na kugombea walikua wamekichangia nini chama?mbona hamkushupaa?acheni Udini msijifiche kwenye katiba
 
Nyerere aliona mbali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…