Mtamba wa Panya
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 790
- 1,962
Sio mitano mitena ni milele
Duh..Sio mitano mitena ni milele
Njooni mjenge na huku Kigoma.Tuleteeni angalau hata lami tu.Bila shaka utakua mwanaume wa Dar mkui!!Kwani uko Dar vimejengwa vingapi,Miradi ipo mingapi??flyover kama zote Je hutak ajenge na mikoani??unawivu au ubinafsi au kitaalam inaitwaje?? Lakini ni Mitano tenaaa
Rudia kusoma mada, pengine unaweza kuelewa.Bila shaka utakua mwanaume wa Dar mkui!!Kwani uko Dar vimejengwa vingapi,Miradi ipo mingapi??flyover kama zote Je hutak ajenge na mikoani??unawivu au ubinafsi au kitaalam inaitwaje?? Lakini ni Mitano tenaaa
Tatizo huko watu wabinafsi waha ni watu wenye fedha lakini kwao hawapakumbukiNjooni mjenge na huku Kigoma.Tuleteeni angalau hata lami tu.
u- MOBUTU SESE SEKONaomba kuuliza,
Kiongozi kutumia fedha za umma kujenga miradi mingi ya maendeleo nyumbani kwao kijijini maana yake ni nini?
1) Uzalendo
2) Ubinafsi
3) Matumizi mabaya ya Madaraka
4) Ushamba
5) Katiba mbovu
6) Kukosa uadilifu
Naomba jibu wakuu!
NB: Sijataja jina la mtu
Inaonekana walimu wako walikuwa wakipata tabu sana Shuleni..