Kiongozi Kujenga miradi mingi ya maendeleo nyumbani kwao, nini maana yake?

Kiongozi Kujenga miradi mingi ya maendeleo nyumbani kwao, nini maana yake?

Naomba kuuliza,
Kiongozi kutumia fedha za umma kujenga miradi mingi ya maendeleo nyumbani kwao kijijini maana yake ni nini?

1) Uzalendo
2) Ubinafsi
3) Matumizi mabaya ya Madaraka
4) Ushamba
5) Katiba mbovu
6) Kukosa uadilifu


Naomba jibu wakuu!

NB: Sijataja jina la mtu
Ni yote kasoro la kwanza!
Ingekuwa ni mtumishi mwingine wa umma, kesi zifuatazo angebambikiwa
1 uhujumu uchumi
2 rushwa, takukuru ingepelekwa kufanya uchunguzi nani katoa ruhusa, pesa zimeidhinishwa na bajeti gani n.k.
3 angekuwa ndani, uchunguzi usioisha ukiendelea
 
Kiuhalisia ni ubanafsi kujenga Hospitali Mtwara na Mara, SGR kuanzia Dar es Salaam - Morogoro badala ya Mbeya, Kufufua treni Arusha, Kilimanjaro na Tanga. Kujenga bwawa la taifa Morogoro badala ya Katavi, kuweka fly overs Dar kabla rami za miji mingine kukamilika huu ni ubinafsi kweli.
Mtwara unazngmzia mkoa na Kanda ya kusini,,, hakuna justification ya kufanya yale CHATO zaidi ya ubinafsi
 
Bahati nzuri hao ccm wenyewe washaanza kuwa na mashaka na huyo mtu wao
 
Kila mtu ajenge kwao nchi itaendelea sana. Mtu ana nyumba tano dar ila kwao ni ile ile ambayo babu yake alimrithisha baba yake.
 
Kiuhalisia ni ubanafsi kujenga Hospitali Mtwara na Mara, SGR kuanzia Dar es Salaam - Morogoro badala ya Mbeya, Kufufua treni Arusha, Kilimanjaro na Tanga. Kujenga bwawa la taifa Morogoro badala ya Katavi, kuweka fly overs Dar kabla rami za miji mingine kukamilika huu ni ubinafsi kweli.
rami?
 
Na kwa nini miradi mikubwa Kama hiyo isijengwe makao makuu ya mkoa ambapo ni Geita badala yake project zote kubwa zinajengwa chato matokeo yake chato itapata maendeleo zaidi ya makao makuu ya mkoa ambao ni Geita huu ni ubinafsi mkubwa

Hakika hii mbegu anayoipanda jiwe ndio watarisi na viongozi wengine watakaofatia
Anahubiri umoja wa kitaifa,lkn yeye ndio wa Kwanza kuligawa Taifa.
 
Ni kuendeleza ile falsafa ya "chukua chako mapema".
 
Back
Top Bottom