hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 6,772
- 15,651
Kwaiyo mpaka chuo jamaa linajenga?Na amesema hakuna phase katika ujenzi dude liishe moja kwa moja mpaka chuo Cha madaktari kudadeeek
Kwaiyo mpaka chuo jamaa linajenga?Na amesema hakuna phase katika ujenzi dude liishe moja kwa moja mpaka chuo Cha madaktari kudadeeek
Mpaka chuo hapo hapo inaonekana litakua dude haswa limesheheni maama wamesema Wana ekari zaidi ya 2800Kwaiyo mpaka chuo jamaa linajenga?
Hapa ndio hata mimi ninashangaa, all in All Magufuli ni MWAMBA. Ameifanya nyumba yake binafsi kuwa IKULU nyingine. Safi sana MagufuliKidume amewaweza, Watanzania wote wameufyata wanamuacha afanye analo kutakua.
Jamaa anatengeneza taswira mbaya sana kwa marais wa nchi hii watakaofuata.Mpaka chuo hapo hapo inaonekana litakua dude haswa limesheheni maama wamesema Wana ekari zaidi ya 2800
Kwani ukianza kuua nyoka unaanzia kichwani au mkiani?Naomba kuuliza,
Kiongozi kutumia fedha za umma kujenga miradi mingi ya maendeleo nyumbani kwao kijijini maana yake ni nini?
1) Uzalendo
2) Ubinafsi
3) Matumizi mabaya ya Madaraka
4) Ushamba
5) Katiba mbovu
6) Kukosa uadilifu
Naomba jibu wakuu!
NB: Sijataja jina la mtu
Tatizo mmeishazoea kila kitu kizuri kianzie dar... Mtakoma mwaka huuNaomba kuuliza,
Kiongozi kutumia fedha za umma kujenga miradi mingi ya maendeleo nyumbani kwao kijijini maana yake ni nini?
1) Uzalendo
2) Ubinafsi
3) Matumizi mabaya ya Madaraka
4) Ushamba
5) Katiba mbovu
6) Kukosa uadilifu
Naomba jibu wakuu!
NB: Sijataja jina la mtu
Majibu yote ni sahihi, isipokuwa jibu namba 1.Naomba kuuliza,
Kiongozi kutumia fedha za umma kujenga miradi mingi ya maendeleo nyumbani kwao kijijini maana yake ni nini?
1) Uzalendo
2) Ubinafsi
3) Matumizi mabaya ya Madaraka
4) Ushamba
5) Katiba mbovu
6) Kukosa uadilifu
Naomba jibu wakuu!
NB: Sijataja jina la mtu
Kabisa aisee maana kijiografia hakukua na ulazima wa kujenga pale kwa Sasa hosp ya rufaa wanayo bugando kubwa tu atleast angejenga kule mtwara ,hapo kashaweka kila raisi ajaye ataanza kujenga kwao pasipo na maslahi mapana ya taifa hatukatai charity begins at home lakini iwe kweli pamedeserveJamaa anatengeneza taswira mbaya sana kwa marais wa nchi hii watakaofuata.
Watautumia ubinafsi wake kama case study kujipendelea makwao.
Pwenti ni zile zile.. Poor Government Infrastructure, Poor Social inftrastructure, Lack of Education.Naomba kuuliza,
Kiongozi kutumia fedha za umma kujenga miradi mingi ya maendeleo nyumbani kwao kijijini maana yake ni nini?
1) Uzalendo
2) Ubinafsi
3) Matumizi mabaya ya Madaraka
4) Ushamba
5) Katiba mbovu
6) Kukosa uadilifu
Naomba jibu wakuu!
NB: Sijataja jina la mtu
[emoji16][emoji16]Sio mitano mitena ni milele
Na hiyo mikataba ya mipesa mingi hivyo ana saini bila kupitia bungeni sijui inakuwajena serikali ipo imekaa tuu kimya[emoji23]Naomba kuuliza,
Kiongozi kutumia fedha za umma kujenga miradi mingi ya maendeleo nyumbani kwao kijijini maana yake ni nini?
1) Uzalendo
2) Ubinafsi
3) Matumizi mabaya ya Madaraka
4) Ushamba
5) Katiba mbovu
6) Kukosa uadilifu
Naomba jibu wakuu!
NB: Sijataja jina la mtu
Na hiyo mikataba ya mipesa mingi hivyo ana saini bila kupitia bungeni sijui inakuwajena serikali ipo imekaa tuu kimya[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye makalio..Kwani ukianza kuua nyoka unaanzia kichwani au mkiani?