Kiongozi Kujenga miradi mingi ya maendeleo nyumbani kwao, nini maana yake?

Kiuhalisia ni ubanafsi kujenga Hospitali Mtwara na Mara, SGR kuanzia Dar es Salaam - Morogoro badala ya Mbeya, Kufufua treni Arusha, Kilimanjaro na Tanga. Kujenga bwawa la taifa Morogoro badala ya Katavi, kuweka fly overs Dar kabla rami za miji mingine kukamilika huu ni ubinafsi kweli.
 

Hapo panakuwa hakuna kiongozi, bali ni kibaka anaye misuse resources za nchi, sawa sawa na lijizi
 
Maendeleo hayana chama.
 

Ni MZALENDO kama MOBUTU alivyoijenga GBADOLITE.
 
Na amesema hakuna phase katika ujenzi dude liishe moja kwa moja mpaka chuo Cha madaktari kudadeeek
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…