Kiongozi Kujenga miradi mingi ya maendeleo nyumbani kwao, nini maana yake?

Ni yote kasoro la kwanza!
Ingekuwa ni mtumishi mwingine wa umma, kesi zifuatazo angebambikiwa
1 uhujumu uchumi
2 rushwa, takukuru ingepelekwa kufanya uchunguzi nani katoa ruhusa, pesa zimeidhinishwa na bajeti gani n.k.
3 angekuwa ndani, uchunguzi usioisha ukiendelea
 
Mtwara unazngmzia mkoa na Kanda ya kusini,,, hakuna justification ya kufanya yale CHATO zaidi ya ubinafsi
 
Naomba uweke na picha tuone haya
Hayo maendeleo aliyoyapeleka huko
 
Bahati nzuri hao ccm wenyewe washaanza kuwa na mashaka na huyo mtu wao
 
Kila mtu ajenge kwao nchi itaendelea sana. Mtu ana nyumba tano dar ila kwao ni ile ile ambayo babu yake alimrithisha baba yake.
 
Unaposema nyumbani kwao unamanisha nn?? Chato hakuna WaTZ
 
rami?
 
Anahubiri umoja wa kitaifa,lkn yeye ndio wa Kwanza kuligawa Taifa.
 
Ni kuendeleza ile falsafa ya "chukua chako mapema".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…