Tetesi: Kiongozi mkubwa wa upinzani aliyenunuliwa na CCM ni James Mbatia?

Huna koromeo kabisa walah[emoji2][emoji2]
 
Umenikumbusha enzi za Pajero
 

Mchagga.
Si Mpare...
 
Hapana sio Mbatia. Why CCM wamnunue mwanasiasa asiye na impact yoyote kwenye siasa za Tanzania? They had a bigger fish to catch, and unfortunately, they actually succeeded to. Time will tell!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..Mbatia alifukuzwa chuo kikuu wakati wa utawala wa Raisi Mwinyi kwasababu alikuwa ktk ya viongozi walioongoza mgomo wa wanafuzi wa udsm.

..na alifukuzwa akiwa amebakisha mwaka 1 amalize shahada yake ya uhandisi chuo kikuu Dsm.

..pamoja na kuomba arejee kumalizia masomo yake serekali ilimkatalia.
 
Bora umejipambanua mkuu kuwa we ni nan maana nikikumbuka Uzi wako juu ya same mashariki nikiconnect dots nia yako IPO waz juu ya same tatzo n chadema na maendeleo unayoyataka chief acha kupaka watu matope siasa haziendi hivyo mkuu wenye same yao wanakuangalia halafu wanasema hiiiiiii in jiwe's voice
Ccm nichama chenye mizizi kila kona usishangae hata peter msigwa akawa ni mwanachama wa ccm

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana sio Mbatia. Why CCM wamnunue mwanasiasa asiye na impact yoyote kwenye siasa za Tanzania? They had a bigger fish to catch, and unfortunately, they actually succeeded to. Time will tell!

Sent using Jamii Forums mobile app
Uzi umefungwa na kuonesha tetesi na kuhisi kwangu sio kweli tuendelee kununua muda tutakuja kumfahamu au tuendelee kuhisi ni nani huyo Mwanasiasa mkubwa wa upinzani aliyekula ndoano. Asante Evarist Chahali
 
Mbatia Anaweza kua Sio Mwanasisiemu ila akawa Mtu asiye na Madhara kwa CCM kwa kipindi chote cha Jiwe kwa
kuthubutu kua Mpinzani yule tuliyemfahamu zamani zile, kama aina ya Nyerere Mpya.
Aliyenyooshwa Vidole wanasiasa wanaoiharibu 'Mama Tanzania'.

Ni Baada ya Kunyooshewa Fimbo ya Dhahabu kumuona Jiwe pale magogoni, na kupata baraka za kuendelea na Ujenzi wa barabara kule kwao kupitia michango ya harambee. siasa ngumu bhana. Tafuta maisha. Siasa waachieni wenye roho ngumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…