Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Kupoteza maafisa wa ngazi za juu ndani ya muda mfupi, ndio kushindwa kwenyewe.Base zote wanajeshi wa USA wamekimbia hahaha wengine wanefatwa na drones kwenye mahotel kipi cha kufanya Iran atake kuongea na USA.
Hao wamefekwa sababu waliamini kutakuwa hakuna vita wako kwenye maongezi
kaka waajemi wa Kolomije hutawaweza akili zao ni jama za usimba na yanga kwa kila jambo hata facts ziwe bayana hua roporopo na porojo haziwaishi.Waliamini hakuna vita wakati mameli, Madege, na wanajeshi wametia kambi Bahraini mwezi mzima.
Kweli?
Wameuliwa zaidi ya wanajeshi 500 Trump hataki wa USA wajuwe anatafuta deal ya haraka haraka. Labda yeye ndiye kuwapigia Uran aongee nao.Hapo ndipo Wafuasi na mashabiki wa Iran na waarabu mnapofeli.
Kukimbia kwenye vita ni moja ya mbinu za kivita. Uliza mwanajeshi yeyote atakuambia.
Ni Sawa useme mbona wanajificha kwenye mahandaki. Sasa ullitaka wakae mbele wafokolewe.
Majengo kulipuliwa na miundombinu sio tatizo ikiwa watu wapo wazima
Wameuliwa zaidi ya wanajeshi 500 Trump hataki wa USA wajuwe anatafuta deal ya haraka haraka. Labda yeye ndiye kuwapigia Uran aongee nao.
View: https://youtu.be/zbBrhWe9Bpc?si=OuDCF4f4aSLM6TBG
Waliamini vita vitatokea baada ya nmmazungumzo ku fail lakini sio unajidai mazungumzo yalikuwa mazuri mwisho afu unashambulia. Huyo ni super power fake anajidai ana ongelea peace kumbe anaingia vitani.Waliamini hakuna vita wakati mameli, Madege, na wanajeshi wametia kambi Bahraini mwezi mzima.
Kweli?
kaka waajemi wa Kolomije hutawaweza akili zao ni jama za usimba na yanga kwa kila jambo hata facts ziwe bayana hua roporopo na porojo haziwaishi.
sasa ati waIran walidhani kuna mazungumzo na matamko ya kejeli ya kiongozi wa Iran dhidi ya Marekani hawakupata kuyasikia ama ??
yani binadamu tunatofautiana sana tena hasa hawa wa Kolomike kwenye simba na yanga ndio kabisaaaaa
Waliamini vita vitatokea baada ya nazungumzo ku fail lakini sio unajidai mazungumzo yalikuwa mazuri nwisho afu unashambulia. Huyo ni super power fake anajidai aba ongekea peace kumbe anaingia vitani.
Unajua ya kuwa hadi sasa Israel wametawala Anga la Iran na wanashusha makombora kama mvua? Halafu unasema walikuwa hawajui wao hawana ulinzi wa anga hadi wauwawe kama kuku?Hao wamefekwa sababu waliamini kutakuwa hakuna vita wako kwenye maongezi
Yenyewe yamebakia kumuamini Allah na Mudi na kukata mauno hadharani ndio maana hayajawahi kushinda.Hapo ndipo Wafuasi na mashabiki wa Iran na waarabu mnapofeli.
Kukimbia kwenye vita ni moja ya mbinu za kivita. Uliza mwanajeshi yeyote atakuambia.
Ni Sawa useme mbona wanajificha kwenye mahandaki. Sasa ullitaka wakae mbele wafokolewe.
Majengo kulipuliwa na miundombinu sio tatizo ikiwa watu wapo wazima
Hahaha,Base zote wanajeshi wa USA wamekimbia hahaha wengine wanefatwa na drones kwenye mahotel kipi cha kufanya Iran atake kuongea na USA.
Hahaha,Yenyewe yamebakia kumuamini Allah na Mudi na kukata mauno hadharani ndio maana hayajawahi kushinda.
View attachment 3550703
Adiosamigo
Dah,..some of the Iranians involved in negotiations in recent weeks were no longer alive.
“Most of those people are gone. Some of the people we were dealing with are gone, because that was a big—that was a big hit,”
Nitashangaa sana kama Robert Heriel Mtibeli nae anaamini Iran atatoboa hii vita.na wewe Mtibeli uliamini mavilemba watamudu mziki wa wa Mmarekani ?! Au pia bado unaamini hivyo ?
😂😂😂😀
Basi watakuwa wajinga kuliko inavyotegemewa.
Wewe upo ulingoni mnazungumza unaweka Guard chini. Sasa subiri uppercut moja matata ya kushtukiza utie Akili
Unaamini intelligensia ya IRGC walioshindwa tu kumlinda Ayatollah?
View: https://youtube.com/shorts/nXAuqdW4hd8?si=KFljN0UOsw35Z-TR
IRGC wanasema base ya Kuwait Salim Al Sabah imeisha malizwa, na pia Al Ahmed Sabah base ya navy Baharain pia karibu imelizwa hio base ya Navy
IRGC pia wanasema wameuwa askari 560 wa USA kwenye base zote walizo piga
Balaaaaaa mkuuDah,
Trump ametisha.
Wawakilishi wa majadiliano wa Iran wengi wao wamefutwa tayari. Inawezekana walikuwa kwenye kile kikao cha wakubwa kilichosambaratishwa kwa makombora mazito.
Inabidi dogo aunde upya jopo la kwenda ku rubber stamp matakwa na maelekezo ya Trump