Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
Tatizo huyu kibaraka ndio anawapa infomation Israel kule kwa Nasurlah alitoka mzima na kwa Khomen katoka mzima na Khomen alikuwa ana muamini sanaUnaamini intelligensia ya IRGC walioshindwa tu kumlinda Ayatollah?
Kama Marekani anajiamini adeploy boots on the ground hapo Iran aoneNitashangaa sana kama Robert Heriel Mtibeli nae anaamini Iran atatoboa hii vita.
Yaani mtu anaekwambia Iran atashinda ni eidha pro muslim au pro Russia/China kama braza Xi Jinping japo yeye ukiigusa China hakika umemchokoza.
Ila ukiwa timamu ni wazi Iran alishapoteza muda mrefu hii vita hata kabla ya kuianza.
Anashambulia base za USA ambazo zipo kwa majirani zake, turn out anajiingiza kwenye mgogoro na majirani zake pia.
Trump na Mr Nyau wamechanga karata zao vyema, wamempa jina baya Iran, wamemshambulia, wameua viongozi wakuu nk
Ati Iran anatoa onyo tena kua wakirudha kombora tena basi wao watatusha makombora 7000+. Sasa mpaka kiongozi wenu anauawa bado hawatake action zaidi ya matamko!! Ajabu.
Huyo sio wa kwanza, na hatokuwa wa mwisho.Tatizo huyu kibaraka ndio anawapa infomation Israel kule kwa Nasurlah alitoka mzima na kwa Khomen katoka mzima na Khomen alikuwa ana muamini sana
View: https://youtube.com/shorts/FRhDQRrxPF0?si=qv3YihE3V2YGvkIO
Mkuu unampangia Mmarekani apigane vipi vita, yaani unaona nikikuchapa kwa drones nashinda halafu nipeleke watu na tech yote hii??Kama Marekani anajiamini adeploy boots on the ground hapo Iran aone
Marekani imefeli lengo lake lilikuwa kuondoa utawala ameshindwa
Mpaka Nyau anaomba eti Wairan waingie mitaani kuandamana, Wahabeshi wamemkataa
Pili kushambuliwa kwa kambi zake hapo Middle East kumeonyesha kuwa Patriot na THAAD ni takataka
Kwa hiyo wewe wa Kibaha Picha ya Ndege unaebisha una namba ya huyo Ayatollah mpya amekukanushia kwamba sio kweli.Trump ni muongo anatafuta ushindi wa haraka
Marekani na Israel wamefeli hawajafikia lengo lao la kuuondoa utawala wa sasa wa Iran.Mkuu unampangia Mmarekani apigane vipi vita, yaani unaona nikikuchapa kwa drones nashinda halafu nipeleke watu na tech yote hii??
Siwabezi Iran wanajitahidi mno, wana nguvu kwelikweli ila sio za kuwazidi US na Nyau.
Mkuu mpaka sasa tathmini yako ikoje juu ya hii vita??
Wewe gaidi acha porojo nendeni msibani mkamzike gaidi mwenzenu ameshaenda kwa mabikra 72 wenye macho kama mayai na wasioenda choo.Wameuliwa zaidi ya wanajeshi 500 Trump hataki wa USA wajuwe anatafuta deal ya haraka haraka. Labda yeye ndiye kuwapigia Uran aongee nao.
Tazana Israel inavyo sambaratishwa
View: https://youtu.be/zbBrhWe9Bpc?si=OuDCF4f4aSLM6TBG
sasa wayahudi 9 kufa ikifananishwa na viongozi wakuu wa Irani waliopasuliwa mikundyu na kuwahishwa kunywa pombe side gani imeloose zaidiMarekani na Israel wamefeli hawajafikia lengo lao la kuuondoa utawala wa sasa wa Iran.
Na bado IRGC leo wameshambulia Tel Aviv, Miyahudi 9 imekufa
Kama bado Iran wana uwezo wa kushambulia ndani kabisa ya mipaka ya Israel na kuua Miyahudi wanastahili pongezi. Iron Dome zimefelisasa wayahudi 9 kufa ikifananishwa na viongozi wakuu wa Irani waliopasuliwa mikundyu na kuwahishwa kunywa pombe side gani imeloose zaidi
Kama bado Iran wana uwezo wa kushambulia ndani kabisa ya mipaka ya Israel na kuua Miyahudi wanastahili pongezi. Iron Dome zimefeli
So kufikia hapa tunajifunza kuwa missiles za Iran haziwezi kuzuiwa na Iron Dome, Patriot wala THAAD
Wewe gaidi acha porojo nendeni msibani mkamzike gaidi mwenzenu ameshaenda kwa mabikra 72 wenye macho kama mayai na wasioenda choo.
Tuache irone dome vipi mifumo ya ulinzi ya Iran mixa aliyopewa na Russia na bado VIONGOZI WAKUU wamepasuliwa mikundyu, je hiyo mifumo haijafeli ?! Yani kama mikundyu ya viongozi inapasuliwa je mkundyu wa nani upo salama Iran ?Kama bado Iran wana uwezo wa kushambulia ndani kabisa ya mipaka ya Israel na kuua Miyahudi wanastahili pongezi. Iron Dome zimefeli
So kufikia hapa tunajifunza kuwa missiles za Iran haziwezi kuzuiwa na Iron Dome, Patriot wala THAAD
Kwa hiyo kwanza tumekubaliana kuwa Iron Dome, Patriot na THAAD si ya kutegemeka?Tuache irone dome vipi mifumo ya ulinzi ya Iran mixa aliyopewa na Russia na bado VIONGOZI WAKUU wamepasuliwa mikundyu, je hiyo mifumo haijafeli ?! Yani kama mikundyu ya viongozi inapasuliwa je mkundyu wa nani upo salama Iran
Unajua wewe ulinichekeshs sana kusema Mtume aliye tabiriwa hajui kusoma ukasema ni Wayahudi huko Jerusalem. Wakati Mtume atakuwa wa upande wa UarabuniWewe gaidi acha porojo nendeni msibani mkamzike gaidi mwenzenu ameshaenda kwa mabikra 72 wenye macho kama mayai na wasioenda choo.
Ijue mipaka yako, hata watu wenye kiburi kama farao walianguka pia..Yenyewe yamebakia kumuamini Allah na Mudi na kukata mauno hadharani ndio maana hayajawahi kushinda.
View attachment 3550703
Adiosamigo
Kwani huyu mwamba ni nani, sorry for ask? 🙏Huyo sio wa kwanza, na hatokuwa wa mwisho.