Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Qur'an 2:154. Wala msiseme kuwa wale walio uwawa katika Njia ya Mwenyezi Mungu ni maiti; bali hao ni wahai, lakini nyinyi hamtambui. 154
Qur'an 2:154. Wala msiseme kuwa wale walio uwawa katika Njia ya Mwenyezi Mungu ni maiti; bali hao ni wahai, lakini nyinyi hamtambui. 154
Endelea kujifariji. Sorry for your loss bibie.

Yesu Mungu leta amani. Allah ampe qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein.
 
Na pia sunni na wakurdi ni vinega,,,,shia kwa usalama wao wajikate nao.......hii ishu ya jamaa wa hamas acha tuendelee kuicheki
Jamaa kauzwa , Kaishi Qatar miaka kibao juzi tu hapa kaenda Iran ndio kauzwa ...Nasrallah aligoma kwenda hapa kutakuta kutokea vita hawa iran wanauza wenzao .

Nchi za salaama ni Qatar na saudia pale kati , hazina ufungamano wa makundi zaidi ya serikali
 
Hili ni onyo pia kwa Rais mpya wa Iran Masoud Pezeshkian aliyeapishwa jana kuwa mwangalifu anapo deal na Israel.

Kwanza anachukua nafasi ya Rais aliyetunguliwa kwenye helicopter mwezi Mei 2024 na hao hao Israel. Pili Kamanda mkuu wa Hamas anapigwa akiwa Tehran na Israel alipokuja kuhudhuria kuapishwa kwake yeye binafsi.

Ajue hata yeye Rais mpya hayuko salama
 
Mkuu wee endelea kujifariji huku umebana marinda/mkundu ukiwa na maumivu makali.
 
Hii ni vita ya secret societies.........na ni maandalizi ya vita ya 3 ya dunia,,,,,sema inaweza kutokea au isitokeee,,ila kuna upande una force vita kwa nguvu zote.....

Ndo maana sie wa matombo tunasema watwangane tu kikubwa wasituletee shida zao huku,,,,yeyote tu ashinde hawatuhusu.....maana akishinda mzayuni tabu pia akishinda yule wa dini spesho nayo taabu,,,,.... ila acha wanyooshane ili baadae watutengenezee muvi nzuri pale Hollywood
 
Iran needs to re-assess its security arrangements, kuna kunguni ndani ya godoro la chumbani
 
Sasa anastarehe na ma-bikra 72, leo ndio analala na bikra wa kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…