Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Wache hao wafuasi wa Paulo wafurahi kuna msemo unasema tutaona nani atacheka mwishoni time will tell.Hii inakwenda kuwa vita kubwa mbaya mashariki ya kati........
Na hii vita itaamua nani mtawala na mbabe ndani ya mashariki ya kati