Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Majukumu ya kumlinda alikabidhiwa Iran. Ofisi zao zilihamishiwa Baghdad kutokea Doha Qatar.

Kwa vyovyote vile kauzwa. Pale Iraq, Sunni pamoja na Kurds hawakutaka ofisi za Hamas zihamishiwe Iraq.

Kwahiyo ina maana kuna waliouza movements zak na ku share intelligence na MOSSAD.

Mbaya zaidi, ameuwawa ndani ya Taifa lilitakiwa kuhakikisha ulinzi wake. Tena siku ya kuapisha rais wao mpya ambapo ulinzi ulitakiwa uwe wa hali ya juu kabisa!
Na hawa suni na wakurd ndo masnitch wenyewe,,,,makundi ya shia yakitaka ushindi wajikate kushirikiana nao ila kama wataendelea kuwachukulia kama waislam wenzao nao watapotezwa........kuna kitu Iran kama amekijua au akija kukijua lazima alipize kisasi
 
Nasrallaah anajirikodi alafu anatuma clip kwa vijana wake waitume kwenye news outlets mbalimbali,
Hazitumwagi hizi, wanakabidhiwa hand on hand. Utume ili wanaume wakunase location ulipo??
 
Imebidi nikahakikishe kwenye vyombo vikubwa vya habari, ni kweli ameuawa.
Dah!
Wasingemuua ila Hamas walishikwa na mihemko October 7 2023. Hamas wangetumia Busara na patience hii vita isingetokea. Wanaoumia ni raia wa pande zote. Vita ni mbaya sana. Mimi napendaga sana malumbano na debate humu jamvin lakini in reality naumiaga sana uonevu pande zote mbili likija swala la vulnerable wazee, wanawake na watoto kuuwawa.

Ismael Haniyeh imeniuma sana yani hata muonekano wake wa nje jamaa mpole lakini sijui itikadi.

God bless and PROTECT Israel

Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma ampe qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein

Proved
 
Hamas wamefeli pakubwa mno, wameshindwaje kumlinda kiongozi wao Mkuu? Sasa kama kiongozi kauawa kuna nini tena? Warushe taulo basi.
Yaani, ninachojiuliza mimi ni kuwa ameuawa Iran.. siku ya kuapishwa Rais mpya wa Iran... ila sijui wamefanyaje; itakuwa ni bomu la kutega maana sidhani kama ni kombora au drone... ameletewa zawadi au kuna mtu kaingiza ndani zawadi... tena mtu wa kuaminika kabisa...
 
Kama ndani ya Iran wanaweza kuwafikia na kuwauawa itashindikana vipi Kwa RAISI wa iran na viongozi wengine?
Ila hawa Israel hata kama tunawakataa bado wapo mbali Sana kwenye mbinu za kijasusi
Jeshi la Israel huwa wanawaandikisha wanafunzi wenye akili nyingi vilaza hawapewi kazi jeshini siyo kama sisi tuna huwa mbumbumbu wengi kuliko werevu tunawachukuqa wachache
 
Eeeeehhhh nasikia usiku wa kuamkia leo, Ayatollah na walinzi wake wamehama handaki na kukimbia location nyingine, wako underground huko Tehran kuhofia kumalizwa na MOSAD, inaonekana MOSAD wameamua kukata vichwa vya viongozi tu au kuwamaliza viongozi wa maadui wao wote, wanajua wakimalizwa hoo, hakuna atakaye toa order za vita tena..!!

Kiongozi wa Hezbollah, Nasrallaah hajulikani alipo, sbb makomandoo wa MOSAD wameingia ndani ya Lebanon hawajulikani na wanamsaka live, Nasrallaah anajirikodi alafu anatuma clip kwa vijana wake waitume kwenye news outlets mbalimbali, ila haijulikani yuko wapi…!!
Pia kiongozi wa Houthi huko Yemen, hajulikani alipo, soon utasikia moto toka angani kwenye ndege vita za Israel zikimmaliza..!!

Ndani ya mwezi mmoja ujao tutasikia mengi..!!
Uyu Nasrah ni suala la muda tu israel walisha sema kua wana yajua maficho yake kwa hiyo waki amua kumtungua uko alipo haishindikani kabisaa
 
Na hawa suni na wakurd ndo masnitch wenyewe,,,,makundi ya shia yakitaka ushindi wajikate kushirikiana nao ila kama wataendelea kuwachukulia kama waislam wenzao nao watapotezwa........kuna kitu Iran kama amekijua au akija kukijua lazima alipize kisasi
Iran ni taifa lenye mchanganyiko , unavyoona kweny mitandao ni tofauti .Iran kuna wanaisrael wengi tu tena wanaishi fresh wapo kweny vitengo kabisa , mengi ya mtandaoni ni kiini macho .

Uwezekano jamaa kauzwa upo kwa asilimia kubwa kabisa .
 
Iran ni taifa lenye mchanganyiko , unavyoona kweny mitandao ni tofauti .Iran kuna wanaisrael wengi tu tena wanaishi fresh wapo kweny vitengo kabisa , mengi ya mtandaoni ni kiini macho .

Uwezekano jamaa kauzwa upo kwa asilimia kubwa kabisa .
Rais wa Iran alieuawa nae aliuzwa................Iran pia anaweza akalipa kimyakimya
 
Shida hivi vikundi wanaleta mbadala maana mizizi yake mikubwa yaani ideology inabaki. Huko nyuma walishauliwa wengi. Hiki kikundi wanajuwa propaganda na Iran ndio shida kuu siku wakiwekwa sehemu hawa wa Iran basi amani itakuja. Iran sio wanawadhuru Israel tu ila wameleta madhara mengi kwenye nchi za kiarabu na haswa Sunni maana wao wanadhani bora kuliko wengine. Narudia shida zitaisha hizi siku nchi ya Iran kupata kichapo.
Mkuu unadhani raia wengi wa Iran wanaipenda serikali ya Ayatollah? Kule wa Shia wengi hawamtaki Ayatollah. Shia ni watu poa sana.

Allah Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma ampe qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein
 
Back
Top Bottom