Wapi imeandikw kwamba waislamu wamepanga kuwaangamiza wakristo na wayahudi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi imeandikw kwamba waislamu wamepanga kuwaangamiza wakristo na wayahudi ?
🤣🤣🤣Mmoja aligoma kwenda naona alishutukia mchezo .
Hao Palestina Israel akiamua fagia hiyo ni siku moja tu tatizo mnajificha kwa Raia wakipigwa wachache tu kelele nyingi ,wewe na wenzako kina FaizaFoxy ,Bwana Utam ,Malaria 2 hamuwezi elewa hapa mmebaki ushabiki tu , hata huyo Iran ni anaongea tu hakuna cha maana anachoweza fanya .Hawajaanza Leo kuuwawa na Wala hamtakuja kuwamaliza ndio maana wakipata Nguvu nao wanaua hivyo hivyo , tofauti ni namba ya wanaouwawa.
Wanapambana Toka 1945 na hawajawamaliza hapo ndio unaongea nini Sasa?Tumeshasema sana hapa JamiiForums kuwa hakuna wa Kupambana iwe Kivita na Kijasusi na Israel kwani hawa Jamaa licha tu ya kuwa Taifa Teule la Mwenyezi Mungu lakini pia Wamebarikiwa mno Akili Kubwa, Uzalendo wa Kweli na Vipawa Vikubwa sana vya Kuijua Vita na kuifanikisha Vita ile Kikamilifu kwa Kupambana na Adui mahala popote pale.
Wewe mpaka unaona kabisa GENTAMYCINE tokea najiunga hapa JamiiForums mwaka 2013 hadi leo 2024 nimeweka tu Avatar yangu hapa JamiiForums ya Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin BIBI Netanyahu hujiulizi kwanini Namkubali vilivyo huyu Mwamba na hawa Waisraeli?
Hakuna wa Kupambana na Israel duniani.
Imeisha hiyo.....!!
Na sasa watamtafuta Netanyau mwenyewe kwa msaada wa mataifa fulani ya kiarabu.
Majukumu ya kumlinda alikabidhiwa Iran. Ofisi zao zilihamishiwa Baghdad kutokea Doha Qatar.Hamas wamefeli pakubwa mno, wameshindwaje kumlinda kiongozi wao Mkuu? Sasa kama kiongozi kauawa kuna nini tena? Warushe taulo basi.
Kifo cha haniyeh pigo haswa tena haswaaHamas sasa imekwisha maana Heniyeh ndio alikua na mikakati yote kichwani akisaka fedha huku na huko na silaha. Yaani ni mtu mwerevu sana ambae hili la kuuwawa kwake imekua pigo kuhwa sana kwa Hamas.
focus yao haikuwa kuwakomboa mateka mana hao ndo wanaofanya israel apate kisingizio cha kupigana vita.. inteligence yao ipo iran kama wameweza kumuua raisi wa iran nchini kwke na rais wa hamas nchini iran unauliza swali gani?Hamas wanapiga tukio la October 7 intelligence yao ilikuwa wapi?
Mpaka leo mateka bado hawajakomboleawa intelligence yao ipo wapi?
Wewe unajua ila dunia nzima haijui heheee😀😀😀MOSAD will eliminate any human being wherever you are, who killed Israeli citizen or is a threat to Israel security..!!
Rais wa Iran aliyefariki kwa ajali, hata ile helicopter sio ajali ya kawaida, ila binadamu walibaki midomo wazi, kuna kitu kinaitwa Satellite Laser Weapon, nyie hatari sana sanaa
Allah anasema kila nafsi itaonja umauti ikiwemo wewe na mieKwani allah anasemaje kwenye kile kitabu chake kitukutu kuhusu hili la hanieh kuuwawa.
Maana allah hakosi aya ya kuwapa wajaawake.
Usitake urahisi soma mavitabu yenuWapi imeandikw kwamba waislamu wamepanga kuwaangamiza wakristo na wayahudi ?
Inaaminika MOSSAD walipita naye. Polonium!Alikufa natural death, hakuuawa.
Eti focus haipo kuwakomboa mateka ha ha ha ha hafocus yao haikuwa kuwakomboa mateka mana hao ndo wanaofanya israel apate kisingizio cha kupigana vita.. inteligence yao ipo iran kama wameweza kumuua raisi wa iran nchini kwke na rais wa hamas nchini iran unauliza swali gani?
Watu wame kula kichwan tehran katikat kabisa ya jiji na wamesepa IRGC walikua bsy na ma bikra 72Hamas wanapiga tukio la October 7 intelligence yao ilikuwa wapi?
Mpaka leo mateka bado hawajakomboleawa intelligence yao ipo wapi?
Pole kijanaHao Palestina Israel akiamua fagia hiyo ni siku moja tu tatizo mnajificha kwa Raia wakipigwa wachache tu kelele nyingi ,wewe na wenzako kina FaizaFoxy ,Bwana Utam ,Malaria 2 hamuwezi elewa hapa mmebaki ushabiki tu , hata huyo Iran ni anaongea tu hakuna cha maana anachoweza fanya .
Usiwe mjinga Mungu wako unaamini kauliwa na israel , kama Mungu wako aliteswa israel bado unashoboka nao 😛😛Usitake urahisi soma mavitabu yenu