Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Netanyau lazima asakwe
Waarabu hakuna kitu,,, ,,jamaa wapo level ya juu sana kiintelijensia na hata kivita kuliko hao waarabu, kuna uchochoro wanautumia hasa wale waarabu ndumilakuwili, huku mwarabu akija kwa myahudi hana myahudi wa kumuuzia siri za kambi, kwahio taarifa zinatoka upande mmoja huku upande mwingine hautoi taarifa
 
Tumeshasema sana hapa JamiiForums kuwa hakuna wa Kupambana iwe Kivita na Kijasusi na Israel kwani hawa Jamaa licha tu ya kuwa Taifa Teule la Mwenyezi Mungu lakini pia Wamebarikiwa mno Akili Kubwa, Uzalendo wa Kweli na Vipawa Vikubwa sana vya Kuijua Vita na kuifanikisha Vita ile Kikamilifu kwa Kupambana na Adui mahala popote pale.

Wewe mpaka unaona kabisa GENTAMYCINE tokea najiunga hapa JamiiForums mwaka 2013 hadi leo 2024 nimeweka tu Avatar yangu hapa JamiiForums ya Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin BIBI Netanyahu hujiulizi kwanini Namkubali vilivyo huyu Mwamba na hawa Waisraeli?

Hakuna wa Kupambana na Israel duniani.

Imeisha hiyo.....!!

Arusha jana kulikuwa na Sala nzito ya kuliombea taifa la Israel.

Yakuwa yatupasa kukesha kuilinda Israel na sadaka zilikusanywa.

Long live kiboko ya wachawi!
 
Waarabu hakuna kitu,,, ,,jamaa wapo level ya juu sana kiintelijensia na hata kivita kuliko hao waarabu, kuna uchochoro wanautumia hasa wale waarabu ndumilakuwili, huku mwarabu akija kwa myahudi hana myahudi wa kumuuzia siri za kambi, kwahio taarifa zinatoka upande mmoja huku upande mwingine hautoi taarifa
Tumeshasema sana hapa JamiiForums kuwa hakuna wa Kupambana iwe Kivita na Kijasusi na Israel kwani hawa Jamaa licha tu ya kuwa Taifa Teule la Mwenyezi Mungu lakini pia Wamebarikiwa mno Akili Kubwa, Uzalendo wa Kweli na Vipawa Vikubwa sana vya Kuijua Vita na kuifanikisha Vita ile Kikamilifu kwa Kupambana na Adui mahala popote pale.

Wewe mpaka unaona kabisa GENTAMYCINE tokea najiunga hapa JamiiForums mwaka 2013 hadi leo 2024 nimeweka tu Avatar yangu hapa JamiiForums ya Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin BIBI Netanyahu hujiulizi kwanini Namkubali vilivyo huyu Mwamba na hawa Waisraeli?

Hakuna wa Kupambana na Israel duniani.

Imeisha hiyo.....!!
 
Ahaa sasa ndiyo mnaanza kujiuliza wapi imeandikwa??!! Kumbe hao Masheikh wenu huwa wanawadanganya! Tukiwaambia mnatuona tunatunga. Tokeni huko kwekitabu cha shetani kabla ule mwisho haujawakuta huko. Ufunuo 18: 4
Wapi imeandika wakati utabiri wa pale mpaka ule msikiti umeshatajwa itakavyokuwa , usilee ufunuo hapa 😀 😀 Wewe israel sio nduguyako acha shobo wanawatemea mate kama wanyama .

Usiongee hakuna vita waislamu na dini nyingine , zaidi ni chuki baina ya watu ila hakuna vita ..
 
Aliyekuambia kuwa Vita ina Time Limit ni nani? Huna Akili hebu nipishe...!!

Waarabu hakuna kitu,,, ,,jamaa wapo level ya juu sana kiintelijensia na hata kivita kuliko hao waarabu, kuna uchochoro wanautumia hasa wale waarabu ndumilakuwili, huku mwarabu akija kwa myahudi hana myahudi wa kumuuzia siri za kambi, kwahio taarifa zinatoka upande mmoja huku upande mwingine hautoi taarifa
Hamas wanapiga tukio la October 7 intelligence yao ilikuwa wapi?

Mpaka leo mateka bado hawajakomboleawa intelligence yao ipo wapi?
 
Hawajaanza Leo kuuwawa na Wala hamtakuja kuwamaliza ndio maana wakipata Nguvu nao wanaua hivyo hivyo , tofauti ni namba ya wanaouwawa.

Back
Top Bottom