Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Kiboko yao alikuwa Arafat tu, yule ndio mwamba.

Arafat hakuwahi kuwaweza Wayahudi na harakati zake zilimfanya awe mtu wa kutangatanga...

Pia alishindwa kuwaunganisha Wapalestina, maana alijikuta anapata upinzani kwa Wapalestina kuanzisha makundi ya wanamgambo kumpinga na hawa Hamas walizaliwa wakati Arafat alikiwa kiongozi wa PLO...

Sifa pekee ya Arafat ambayo inakubalika, alikuwa anafanya movements zake kuepusha sana umwagaji damu wa ndugu zake tofauti na makundi mengine ambayo yamejikita kwenye kufanya mashambulizi ya kijeshi...
 
MOSAD will eliminate any human being wherever you are, who killed Israeli citizen or is a threat to Israel security..!!

Rais wa Iran aliyefariki kwa ajali, hata ile helicopter sio ajali ya kawaida, ila binadamu walibaki midomo wazi, kuna kitu kinaitwa Satellite Laser Weapon, nyie hatari sana sanaa
 
Achana na propaganda mkuu,hao waisrael toka mwaka jana Hadi Leo wao kama Wana uwezo si wangeimaliza hii vita mapema kabisa inakuaje vita vinapiganwa huu karibia mwaka na wao ndio wenye technology kubwa na wanasapotiwa Karibu na ma super power yote duniani? Wayahudi walivhofanikiwa ni kumilik vyombo vya habari vingi na vikubwa duniani yaani wanaweza kutengeneza propaganda na wakaaminika ila ni weupe Tu na tayari hii vita Isha waelemea Kwa wao mi nasema wameelemewa unabishanaje na taifa lisilo na nguvu Kwa muda wote huu
Wewe unajua urban war fare?! Isingekuwa kujali sheria za kimataifa na kuwahurumia hao maskini wa watu wapalestina ambao waislamu mnawatanguliza mbele kwenye hiyo vita yenu mliyoelekezwa kwenye Quran ya kuwaangamiza wayahudi na wakiristo ili uislamu utawale Dunia, mbona vita ingeisha Kwa siku tatu tu
 
Achana na propaganda mkuu,hao waisrael toka mwaka jana Hadi Leo wao kama Wana uwezo si wangeimaliza hii vita mapema kabisa inakuaje vita vinapiganwa huu karibia mwaka na wao ndio wenye technology kubwa na wanasapotiwa Karibu na ma super power yote duniani? Wayahudi walivhofanikiwa ni kumilik vyombo vya habari vingi na vikubwa duniani yaani wanaweza kutengeneza propaganda na wakaaminika ila ni weupe Tu na tayari hii vita Isha waelemea Kwa wao mi nasema wameelemewa unabishanaje na taifa lisilo na nguvu Kwa muda wote huu
Aljazeera yenyewe imeandika sijui unabisha nini ila waislamu kwa ubishi mpo vizuri
 
Back
Top Bottom