Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Hao jamaa ni kuwachapa hasaa
Yaan tembeza kipigo cha mbwa koko
Ni wapumbavu sana walishaambiwa wasiichokoze Israel hawasikii
Dawa ni kuwamwagia petrol piga kiberiti wakale bikra 72 mapema kabla jogoo kuwika
 
Hamas wamefeli pakubwa mno, wameshindwaje kumlinda kiongozi wao Mkuu? Sasa kama kiongozi kauawa kuna nini tena? Warushe taulo basi.
Baada ya US kuwabana Qatar kuhusu kumfadhili, ilibidi Qatar wanyooshe mikono na kumtaka aondoke ndipo wakafanya kikao wakapatangaza wanahamia Iraq, lakini wamefia Iran.
Utawalaumu bure Hamas, kama waliweza kuhamia Iran kimyakimya sehemu ambayo haikuwa na chembe ya hatari kwao ulitaraji wafanye lipi zaidi ya hilo?
 
Katika hali isiyotegemewa, Israel imeamua kuanza winda vichwa vya nyoka.

Siku ya jana walishambulia na kuua wakubwa huko Lebanon

Waliouawa ni COS wa Hezbollah Bwana Shukr

Isivyotegemea kapiga ndani ya Iran na kumuua Kiongozi wa Hamas Haniyeh

Israel kaona njia pekee ni kuwatoa viongozi.
Music to my ear, hawa islams,na Arabs, dawa Yao ni jews tu, katunguliwa ndani ya Iran! Hii, itatuma ujumbe mzito, kwamba haya magaidi hayana pa kujificha
 
Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya kimataifa, kiongozi mkuu wa Hamas ameuwawa huko Tehran wakati akijiandaa kuhudhuria uapisho wa Rais mpya wa nchi hiyo ...

Hofu imetanda ya uwezekano wa vita kamili kati ya Hezbolah na Israel kutokea, kwani hapo jana pia Kamanda mkuu wa Hezb nae kauwawa katika shambulio la kulipa kisasi kufuatia mauaji yaliyofanywa n kundi hilo huko kwenye milima ya Golan.

Tuongeze maombi.
Ongeza maombi mwnyewe na kufuatilia mambo yasiyokuhusu
 
Baada ya US kuwabana Qatar kuhusu kumfadhili, ilibidi Qatar wanyooshe mikono na kumtaka aondoke ndipo wakafanya kikao wakapatangaza wanahamia Iraq, lakini wamefia Iran.
Utawalaumu bure Hamas, kama waliweza kuhamia Iran kimyakimya sehemu ambayo haikuwa na chembe ya hatari kwao ulitaraji wafanye lipi zaidi ya hilo?
Kwani Netanyahu hasafiri ?
 
Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya kimataifa, kiongozi mkuu wa Hamas ameuwawa huko Tehran wakati akijiandaa kuhudhuria uapisho wa Rais mpya wa nchi hiyo ...

Hofu imetanda ya uwezekano wa vita kamili kati ya Hezbolah na Israel kutokea, kwani hapo jana pia Kamanda mkuu wa Hezb nae kauwawa katika shambulio la kulipa kisasi kufuatia mauaji yaliyofanywa n kundi hilo huko kwenye milima ya Golan.

Tuongeze maombi.
Usijidanganye hakuna wa kumshinda Israel. Israel aneonyesha yeye ni kijigoo wamemuulia huko huko Iran ( baba wa ugaidi). Halafu huyo haniya watoto wake kariba wote waliuawa na Israel huko gaza.

Israel haijawahi kuogopa vita.
 
Katika hali isiyotegemewa, Israel imeamua kuanza winda vichwa vya nyoka.

Siku ya jana walishambulia na kuua wakubwa huko Lebanon

Waliouawa ni COS wa Hezbollah Bwana Shukr

Isivyotegemea kapiga ndani ya Iran na kumuua Kiongozi wa Hamas Haniyeh

Israel kaona njia pekee ni kuwatoa viongozi.
Kulingana na nyakati tulizoko, NB going to the Mark 2000yrs, hizi vita they are going to get nasty 😳. Kibaya zaidi waislamu wakiaminishwa na Quran yao kuwa watawaangamiza wayahudi na baadae wakristo ili dola ya kiislamu ishike hatamu duniani kote wanawatanguliza maskini wapalestina wawatu vitani wakiwaaminisha kuwa wanapigana vita ya Allah
 
Back
Top Bottom