Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Iran ni nchi dhaifu sana jinga kabisa...Yaani Watu Wanaingia pale wanamuua Mtu kama Heniyeh na kuondoka shenzi sana...

Imekua mara nyingi Iran inakua na udhaifu huu hovyo kabisa hawa jamaa...

nchi ya Iran ni hovyo yenyewe haiwezi kuingia Israel ikaua hata mkiti wa mtaa....
Wapuuzi sana hawa Iran..Heniyeh ni kamanda aliefia nchi yake.Alale pema

Israel inaweza kuamua kumuua hata ayatolah pale pale Tehran na hamna kitu watafanya wajinga sana.

MKUU WAO WA KAMANDI YA ANGA

Mkuu wao wa Usalama

Mkuu wa Jeshi

Wanafanya nini hawa shenzi saaana...
 
Hii ni hasira ya kushindwa vita huko ghaza kwa style hii ndo wapiganaji wa Hamas watapandisha mzuka wa kufa mtu
Hizi vita akili inahitajika sana zaidi ya mizuka ya ajabu ajabu,, waarabu wanataka kupigana kama enzi hizo za kupigana na majambia, halafu hapohapo kwa ujinga wao wanazungukana,,,,waarabu ni kama waafrika tu sema wao kidogo wameachiwa tusenti ila kichwani hazimo,,, ndo maana hata Iran mwenyewe anacheza kwa step maana anawajua waarabu walivyo
 
Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya kimataifa, kiongozi mkuu wa Hamas ameuwawa huko Tehran wakati akijiandaa kuhudhuria uapisho wa Rais mpya wa nchi hiyo ...


Hofu imetanda ya uwezekano wa vita kamili kati ya Hezbolah na Israel kutokea, kwani hapo jana pia Kamanda mkuu wa Hezb nae kauwawa katika shambulio la kulipa kisasi kufuatia mauaji yaliyofanywa n kundi hilo huko kwenye milima ya Golan.

Tuongeze maombi.
expand...
Kulingana na nyakati tulizoko, NB going to the Mark 2000yrs, hizi vita they are going to get nasty 😳. Kibaya zaidi waislamu wakiaminishwa na Quran yao kuwa watawaangamiza wayahudi na baadae wakristo ili dola ya kiislamu ishike hatamu duniani kote wanawatanguliza maskini wapalestina wawatu vitani wakiwaaminisha kuwa wanapigana vita ya Allah
 
Katika hali isiyotegemewa, Israel imeamua kuanza winda vichwa vya nyoka.

Siku ya jana walishambulia na kuua wakubwa huko Lebanon

Waliouawa ni COS wa Hezbollah Bwana Shukr

Isivyotegemea kapiga ndani ya Iran na kumuua Kiongozi wa Hamas Haniyeh

Israel kaona njia pekee ni kuwatoa viongozi.
Israel mafia sana, sasa anataka adabu ifuate mkondo wake. Kumbe Ismail Haniya alikua Tehran ndio maana alikua anajifanya kuapa kila siku. Nasrallah anahisi kama kafanikiwa kukwepa risasi.
 
Baada ya US kuwabana Qatar kuhusu kumfadhili, ilibidi Qatar wanyooshe mikono na kumtaka aondoke ndipo wakafanya kikao wakapatangaza wanahamia Iraq, lakini wamefia Iran.
Utawalaumu bure Hamas, kama waliweza kuhamia Iran kimyakimya sehemu ambayo haikuwa na chembe ya hatari kwao ulitaraji wafanye lipi zaidi ya hilo?
Hamas sasa imekwisha maana Heniyeh ndio alikua na mikakati yote kichwani akisaka fedha huku na huko na silaha. Yaani ni mtu mwerevu sana ambae hili la kuuwawa kwake imekua pigo kubwa sana kwa Hamas.
 
Kwa nini Hao waarabu wao huwa hawawezi kulipiza kiasi kwa viongozi wa kiyahudi wakati naona kama wayahudi na waarabu wanafanana tu.
Achana na propaganda mkuu,hao waisrael toka mwaka jana Hadi Leo wao kama Wana uwezo si wangeimaliza hii vita mapema kabisa inakuaje vita vinapiganwa huu karibia mwaka na wao ndio wenye technology kubwa na wanasapotiwa Karibu na ma super power yote duniani? Wayahudi walivhofanikiwa ni kumilik vyombo vya habari vingi na vikubwa duniani yaani wanaweza kutengeneza propaganda na wakaaminika ila ni weupe Tu na tayari hii vita Isha waelemea Kwa wao mi nasema wameelemewa unabishanaje na taifa lisilo na nguvu Kwa muda wote huu
 
MOSSAD kila kitu wanakichukilia personal, wewe ishi katik kikundi fanyeni maamuzi ktk pack But je unaweza jilinda nje ya kundi lako??
MOSSAD wakisha amua lao. Wanakuundia Kikosi kazi kitakachokuwa kina kulia timing 24x7! Ata kama wanapigana Vita ya Dunia Kikosi kazi chako kitakuwa kina deal na wewe tu ,Akina kazi ingine na Bajeti wanayotaka watapewa tu mpaka kieleweke.Once MOSSAD marked some one for death no way out
 
BREAKING: Hamas political leader Ismail Haniyeh has been killed in Tehran, Iranian state media reported on Wednesday, citing the Islamic Revolutionary Guard Corps. Hamas said Haniyeh was killed in an Israeli “raid” on his residence.
Separately, Israel said its strike in Beirut yesterday killed Hezbollah’s most senior military commander Fu’ad Shukr, who it blamed for a deadly rocket attack in the Israeli-occupied Golan Heights. A senior Lebanese government official earlier told CNN that Shukr survived the attack.

Israeli military declines to comment on death of Hamas political leader
From CNN's Abeer Salman in Jerusalem

The Israeli military told CNN they “don’t respond to reports in the foreign media,” after Iranian state media reported that Hamas political leader Ismail Haniyeh was killed in Iran.

In a separate statement, Hamas said Haniyeh was killed in what it said was an Israeli raid on his residence in Tehran after he participated in the inauguration of the Iranian president.

Haniyeh was a longtime senior leader in the group, after first joining Hamas in the late 1980s and climbing the ranks in the following decades.


Who was Hamas political leader Ismail Haniyeh?


The 62-year-old was born in a refugee camp near Gaza City, and joined Hamas in the late 1980s during the First Intifada, or uprising.

As Hamas grew in power, Haniyeh rose through the ranks – being appointed part of a secret “collective leadership” in 2004, then being named the prime minister of the Palestinian Authority in 2006.

By 2017 he had become chief of the group — and was named a “specially designated global terrorist” by the United States soon after.

Over the years, he participated in peace talks with former US President Jimmy Carter, and met with other world leaders including the Emir of Qatar, Sheikh Hamad bin Khalifa al-Thani, and Chinese diplomat Wang Kejian earlier this year.

In April, Israeli airstrikes killed three of Haniyeh’s sons and four of his grandchildren, according to Hamas.

At the time, Haniyeh – who was based in Qatar – insisted their deaths would not affect ongoing ceasefire and hostage talks.

“Whoever thinks that by targeting my kids during the negotiation talks and before a deal is agreed upon that it will force Hamas to back down on its demands, is delusional,” he said.
 
Back
Top Bottom