Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

si wanasemaga iran ana security system ya kung'amua hata siafu anayeingia kwao kwa nia mbaya, imekuweje tena?
Iran security established imeshakuwa 'compromised' na vyombo vya kijasusi kutoka maadui wa Iran.....ndio maana hao wauaji wanaweza kutekeleza matukio aina hiyo na kutoroka bila kukamatwa.

Isitoshe Mossad imeajiri mawakala wake wengi tu ndani ya Iran wanafanya hizo kazi za kijasusi (espionage) kwa niaba yao.

T14 Armata dudus Aleyn
 
Yaani, ninachojiuliza mimi ni kuwa ameuawa Iran.. siku ya kuapishwa Rais mpya wa Iran... ila sijui wamefanyaje; itakuwa ni bomu la kutega maana sidhani kama ni kombora au drone... ameletewa zawadi au kuna mtu kaingiza ndani zawadi... tena mtu wa kuaminika kabisa...
It was an air strike.

This might escalate.
 
Dah!....hawa wazayuni wanaweza kufanya lolote ndani ya ardhi ya Iran na wasigundulike.

Mazungumzo ya amani yamepata pigo.

T14 Armata
Hamna mazungumzo yanahitajika zaidi ya mkono wa chuma. Wana miezi wanafanya mazungumzo na hayana tija.

Hamas, Hezbollah & co waingie uwanjani ili mambo yaishe moja kwa moja. Israel imeahidi kuigeuza Lebanon zama za mawe za kale ikijitoa ufahamu. Uchaguzi mkuu wa Marekani unakaribia hivyo haina muda sana kukagua kwingine iko busy na mambo yake, ndio muda ambao migogoro ya kawaida hutokea sana.
 
Mwavuli wa Marekani unailinda Israel muda wote bila kujali ni kipindi cha uchaguzi au la.

Nahisi Kuna baadhi ya Waarabu hasa wale wenye uhusiano na Israel kimya kimya watakuwa wameona afadhali Haniyeh kaondoka maana urafiki wake na Iran ulikuwa unawakera.
 
Kufa ukipigania uhuru na demokrasia ni heri kuliko kufa kwa malaria.

Ndiyo maana kina Kinjekitile, Mkwawa, Ben, Azory, Lijenje na wa namna hiyo ni mashujaa.

Ama kwa hakika ni heri kufa ukijaribu kusimama kwa miguu yako, kuliko kuishi ukiwa kwenye magoti.
hakika mkuu alafu baada ya kufa kishujaa unakwenda kukabidhiwa mabikra 72 na mito ya pombe au sio.

Alafu unapo sema bora kufa ukipigania uhuru hao hezbollah wanapigania uhuru gani ?! Wako katika taifa lao wanajitawala wenyewe sasa unaposema bora kufa ukipigania uhuru una maana gani ?!

Waislamu ni watu wa vurugu na machafuko alafu mkishugulikiwa mnajifanya ati mnapigania uhuru. Ok wale waislamu waliochoma makanisa Bukoba miaka ya 2018 baada ya Quran kuchanwa Canada walikua wanapigania uhuru gani Bukoba ?! Yani Quran imechanwa Canada ila waislamu wa Bukoba wanachoma makanisa hivi unaona hata jinsi mko wapumbavu mkuu ?
 
Iran security established imeshakuwa 'compromised' na vyombo vya kijasusi kutoka maadui wa Iran.....ndio maana hao wauaji wanaweza kutekeleza matukio aina hiyo na kutoroka bila kukamatwa.

Isitoshe Mossad imeajiri mawakala wake wengi tu ndani ya Iran wanafanya hizo kazi za kijasusi (espionage) kwa niaba yao.

T14 Armata dudus Aleyn
Inasemekana Israel imetumia kombora kumuua. Ikitokea ni kweli basi hilo ni very advanced na dogo na lina mahesabu makali sana. Maana hilo eneo haijasikika mlipuko kabisa. Wakati Tehran iko zaidi ya 1,500km kutoka mpaka wa Israel na ni lazima uvuke anga la Iraq kuingia Iran kama unatokea Israel. Kombora lazima liwe kubwa kufika, ila likiwa kubwa linaacha alama za moshi karibu na impact site. Sasa immediately hawajaona moshi.

Hata hivyo sitarajii Iran kutoa taarifa kamili ilikuwaje maana wana aibu. Hamna cha Mossad wana mawakala, ni hivi Iran bado kuwa level za Israel kwenye ujasusi na mission ngumu.
 
Wewe Itakuwa ni smaka jehannam unaendelea kumwabudu mtu aliyekula na kunya
Kama anamjua muache amusbudu, vipi kuhusu wewe unayeabudu usichokijua? Kwa kuabudu usichokijua huemda huyo hiyo ID unayobishana nayo ndiye Mungu wako ila ni vile haujui
 
Malizia aliuliwa na Wayahudi wenzake. Usije wapa ujiko hao wasio na uwezo. Na tena walimuua baada ya kutaka kuwapendelea Waarabu kwahiyo kifo chake ni hasara kwa Waarabu.

Kwani Mayahudi kwa Mayahudi huuwana ?
 
Back
Top Bottom