Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Kwani Mungu ni mwanaume unavyouliza ana mke? Kwanini usiulize "Mungu ana mume"?

#Ficha uchi wako na aibu ndogo ndogo.

Kumbe biblia yako imemuandika Mungu Kama ni SHE kwa kiengereza! Itakuwa unatumia biblia ya Queen James Version
 

View: https://x.com/visegrad24/status/1818327138883498100


Hawa watu furaha yao hudumu kwa muda mfupi sana

Jana nilishangaa sana kuona Gaidi anahudhuria kuaposhwa kwa Raisi mtumwa wa Allah and wana chant kifo kwa Israel and America.. hawajui wanakuwa wanatangaza vita na Allah wao.. aliyewapa Watu wa Musa Ardhi..

And kwa Dalili zote wanazoziona na kukutana nazo hawaamini Dini zao?

Wayahudi hawakukosea kuwaita wapingaji wote ni Makafiri
 
1.Russia.
2. Korea ya Kiduku.
3. China.
4. Iran.
5. Cuba
6. Syria, lebanon, Iraq, Kuwait, Yemen, Egpty, na vijinvhi vingine kama 80 vimeshindwa kuua kiongozi yeyote wa Mayahudi.

Russia, North Korea, China, Cuba nk sina uhakika kama zilishawahi kuwa na mgogoro na Israeli kiasi cha kutarget viongozi wa Israeli.

Japo naamini Russia anaweza kuipeleka Vita Israeli na Israeli akasikia sasa yuko vitani, maana naamini Russia ana resources za kutosha na watu wakutosha wenye maarifa maana yake itambidi Israeli naye atumie resources za kutosha kumkabili adui kuliko ilivyo sasa na waarabu maana naamini Israeli anatumia resources chache sana kuwakabili.

Shida ya waarabu hawana technolojia na watu wenye akili zilizokomaa kwenye technolojia ya vita na vifaa vya kivita, vita ya sasa ni technolojia na watu wenye kuijua technolojia, kama huna hivyo vitu basi nikujisumbua sana kupigana na hizi superpower.
 
Hamna kitu..Kuuawa Kiongozi wa Kundi la watu waliokata tamaa ya Maisha wakiamini kuwa hawana cha kupoteza hata wakifa siyo tija.Kikubwa mazungumzo ya amani mezani.Wataendelea kuleta damage tu..Kwa sasa na wao wanajipanga walipize kisasi..Lini na kwa njia ipi linabaki kuwa fumbo la imani.
Atakayezidiwa atatoa sauti ya kuomba msaada ili asikilizwe. Sisi tuendelee kusubiria hadi sauti itakaposikika. Amina.
 
Waarabu ni "WANGESE NASA",,nikikumbuka walivotesa babu ze2,na wanavotesa dada ze2 wanaofnya kazi kwao!!!! da!!! mamamamaeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Mkuu wote maji ga nyanja. Watumwa walikwenda hadi Marekani.

Wakoloni, hadi weusi wamo.

Kwa hakika madhwalimu wote bila kujali rangi au taifa ni wangese mno!

Au hudhani hivyo ndugu?
 
Katika hali isiyotegemewa, Israel imeamua kuanza winda vichwa vya nyoka.

Siku ya jana walishambulia na kuua wakubwa huko Lebanon

Waliouawa ni COS wa Hezbollah Bwana Shukr

Isivyotegemea kapiga ndani ya Iran na kumuua Kiongozi wa Hamas Haniyeh

Israel kaona njia pekee ni kuwatoa viongozi.
Ni kama anasema, Iran naweza kuwapigia hata huyo Rais wenu mteule hapohapo nyumbani kwenu
 
Hamas wameshamalizwa Kwenye uwanja wa Mapambano kwa asilimia 95 wamebaki mpiganaji mmoja mmoja anaepigana kwa kujiongoza mwenyewe .

Gaza inatawaliwa na Israel , West Bank inasimamiwa na Israel kiulinzi maanake ndoto ya Palestina kuwa na serikali Yao imekufa mazima .
 
Jana nilishangaa sana kuona Gaidi anahudhuria kuaposhwa kwa Raisi mtumwa wa Allah and wana chant kifo kwa Israel and America.. hawajui wanakuwa wanatangaza vita na Allah wao.. aliyewapa Watu wa Musa Ardhi..

And kwa Dalili zote wanazoziona na kukutana nazo hawaamini Dini zao?

Wayahudi hawakukosea kuwaita wapingaji wote ni Makafiri

Musa ulimpa wewe ardhi?
 
Kiongozi mkuu wa Hamas Ismail Haniyeh ameuawa nchini Iran, kundi hilo limesema.

Katika taarifa iliyotolewa leo siku ya Jumatano, Hamas imesema Haniyeh aliuawa kufuatia uvamizi wa Israel kwenye makazi yake mjini Tehran.

Kwa mujibu wa kundi hilo, Haniyeh alifariki baada ya kushiriki sherehe za kuapishwa kwa Rais mpya wa Iran Masoud Pezeshkian aliyeapishwa siku ya Jumanne.

Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Irani lilisema chanzo cha "tukio" hakijafahamika mara moja lakini "kinachunguzwa", shirika la habari la AFP liliripoti.

View attachment 3057258

Usicheze na MOSSAD
Dah!....hawa wazayuni wanaweza kufanya lolote ndani ya ardhi ya Iran na wasigundulike.

Mazungumzo ya amani yamepata pigo.

T14 Armata
 
DJ TULETEE NA HOUTH TAFADHALI

HOUTH;...
1000145860.jpg
 
Back
Top Bottom