Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Hawa Waislam ndiyo wanafanya hii vita iendelee, ona sasa wanavyojishitaki wenyewe kwa haya maandiko ya Quran. Ndiyo hivyo hivyo wanawatoa kafara maskini wapalestina wa watu wakiwahadaa kuwa vita hiyo ni ya Allah, wao kufa ni dhwawabu kwa Allah, wataridhi mabikira 72 mbinguni. Kitabu chao kinawaelekeza kuwaua wayahudi na wakristo ili uislamu utawale Dunia. Sasa ngoja tuone mwisho wake. Na huyo Iran wanayemshabikia wajue ni Shia; kuna vita mtaipata kati yenu Sunni na Shia hamtakuwa salama
Wao kuua wasio waislam 5 ni ufahari, hata wakiuliwa waislam 100 kwao sio hasara
 
Unapaswa utambue kabla ya shambulio la Oktoba 7 mnamo August wayahudi washenzi wasio na utu walikua wanavamia mashamba ya wapalestina na kupora mali zao na kuvunja nyumba zao.
Je hili unalitambua!?
Hawa kobaaz type hawakosi sababu. Leo hv kesho vile. Ngoja tu dawa iwaingie vizuri daadek.
 
Yah Israel yuko speed mno kwa Sasa . mazungumzo yasipofanyika hamas itabaki bila kiongozi na kuwa kama Gen Z
Hamna kitu..Kuuawa Kiongozi wa Kundi la watu waliokata tamaa ya Maisha wakiamini kuwa hawana cha kupoteza hata wakifa siyo tija.Kikubwa mazungumzo ya amani mezani.Wataendelea kuleta damage tu..Kwa sasa na wao wanajipanga walipize kisasi..Lini na kwa njia ipi linabaki kuwa fumbo la imani.
 
Sababu kuu ni moja.
Iran kuna wayahudi wengi wanaoishi,hivyo kumpata kirusi wa kufanya tukio ni rahisi ilhali Iran hana pandikizi lolote huko Israel.

Hapa ndio tunakuja kwenye intelligent agent capability, inatakiwa sasa Iran aangalie namna yakuwa na Intel kali dhidi ya adui anayeishi naye otherwise atapata shida sana kwenye vita yake na Israeli.

Jews wanajulikana kwa ubinafsi na kujali Taifa lao hata kama wamezaliana na watu wa mataifa mengine basi mradi una hiyo damu lazima utumike kwa maslahi ya Jews.
Hittler aliligundua hili akaamua kuwamaliza Germany na nchi zote ambazo Manazi walivamia maana tayari alijua hiki ni kirusi na mipango yao huwa ni low key and behind the scene.

Uwezo wa Iran bado unanipa shida sana maana nikiangalia navy capability yake naona bado sana, naona anaconvert merchant ships zake kuwa naval ships, Hana subs za kisasa, hana covetry za kisasa, Hana mine sweaper za kisasa wala destroyer kifupi baharini yuko mtupu, ukiangalia airborne yake hana fighter jets za kisasa wala stealth bombers.
Kwa vita ya sasa ili uweze kuvimbiana na Taifa kama Israeli unapaswa kuwa sawa maeneo hayo yaani sawa kweli na uwe na wataalam wakutosha kutengeza hivyo vitu hata katikati ya vita na sio kutegemea stock.

Binafsi naamini namna pekee itakayowasaidia, kusoma sana na kutengeneza wataalam wengi wa ndani na kuwa na viwanda vyao vya vifaa vya kijeshi huku wakiwa low key sana, ukishakuwa na technolojia na watu wengi wenye maarifa inakuwa rahisi kidogo kuwa na miguvu ya kijeshi na kijasusi.
 
Unapaswa kutambua kabla ya Wayahudi/ Ma- setla wa kiyahudi walipigwa na nchi sita ya magaidi ya kiislamu na yaliteketezwa hayo magaidi na misri wakasaini mkataba wa amani.
Muongo empty head wewe.
Mkataba wa amani ulikua ni wa camp David Na vita iliyosababisha kuwepo huo mkataba ni Yomkippur war ya 1973,vita ambayo Misri ilimpiga NA ILIMTWANGA Israel na Israel akakimbia Sinai akarudi nyuma na kubakia ni mita mraba chache sana kwaajili ya buffer zone.
Na wakati huo huo Syria ilishambulia kuikomboa Gollan lakini walifeli.
Na ule mkataba wa amani ulikua ni wa sababu zifuatazo;
1)Kuachiwa kwa mateka wa kiyahudi waliopatikanika Sinai ambao walikua jela za Misri.
2)Kurudisha sehemu ya Sinai iliyobaki.
3)Kuacha mashambulizi dhidi ya Syria.

Vita gani hiyo waarabu waliungana mataifa 6!?
Kama unazungumzia Six days war basi ile haikuwa na confrontation bali Israel ililipua Airbase ya Egypt pale Sinai na kuipora Sinai na Gollan heights.
Nenda kasome usitujazie ujinga humu.
 
Wao kuua wasio waislam 5 ni ufahari, hata wakiuliwa waislam 100 kwao sio hasara
Yan hizo akili zao sijui wanazitumiaje. Hii biashara wanayofanya ndo ile unasikia inaitwa biashara kichaa. Ratio ya 5: 100 wao wanaona ni sawa tuu.
 
Peace,

Na hao ndio Wayahudi hawacheki na kima. Hiyo inaitwa double victory, imagine ndani ya masaa machache huku wamemtandika kiongozi mkuu wa Hizbollah kule wamemtandika kiongozi mkuu wa Ham-ass tena ndani ya Iran na sio Iran tu ndani ya Tehran.

Yani ni kwamba the Arabs are learning the hard way that they messed up with the wrong number. The bastards are paying a huge price Takbir

Waje hapa wasewe Israel inaua watoto na wanawake. Kwa mwendo huu Israel imeonyesha jinsi gani iko hatua 1000 mbele ya wasaka bikra

Kama hawa unanyofolewa uhai ndani ya Tehran unaweza kujiuliza wapi watajificha na hii unaambiwa ni warm up kwa kauli alizotoa Israel waarabu wategemee kufurahishwa zaidi.

Mkuu kuna yule aliyewashwa sikio juzi na Gen Z mmoja kule Marekani.

Huyo naye huna neno lolote la kumhusu yeyote au aliyeyatimba?
 
Peace,

Na hao ndio Wayahudi hawacheki na kima. Hiyo inaitwa double victory, imagine ndani ya masaa machache huku wamemtandika kiongozi mkuu wa Hizbollah kule wamemtandika kiongozi mkuu wa Ham-ass tena ndani ya Iran na sio Iran tu ndani ya Tehran.

Yani ni kwamba the Arabs are learning the hard way that they messed up with the wrong number. The bastards are paying a huge price Takbir

Waje hapa wasewe Israel inaua watoto na wanawake. Kwa mwendo huu Israel imeonyesha jinsi gani iko hatua 1000 mbele ya wasaka bikra

Kama hawa unanyofolewa uhai ndani ya Tehran unaweza kujiuliza wapi watajificha na hii unaambiwa ni warm up kwa kauli alizotoa Israel waarabu wategemee kufurahishwa zaidi.
Waarabu ni "WANGESE NASA",,nikikumbuka walivotesa babu ze2,na wanavotesa dada ze2 wanaofnya kazi kwao!!!! da!!! mamamamaeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Muongo empty head wewe.
Mkataba wa amani ulikua ni wa camp David Na vita iliyosababisha kuwepo huo mkataba ni Yomkippur war ya 1973,vita ambayo Misri ilimpiga NA ILIMTWANGA Israel na Israel akakimbia Sinai akarudi nyuma na kubakia ni mita mraba chache sana kwaajili ya buffer zone.
Na wakati huo huo Syria ilishambulia kuikomboa Gollan lakini walifeli.
Na ule mkataba wa amani ulikua ni wa sababu zifuatazo;
1)Kuachiwa kwa mateka wa kiyahudi waliopatikanika Sinai ambao walikua jela za Misri.
2)Kurudisha sehemu ya Sinai iliyobaki.
3)Kuacha mashambulizi dhidi ya Syria.

Vita gani hiyo waarabu waliungana mataifa 6!?
Kama unazungumzia Six days war basi ile haikuwa na confrontation bali Israel ililipua Airbase ya Egypt pale Sinai na kuipora Sinai na Gollan heights.
Nenda kasome usitujazie ujinga humu.
Kwa kifupi, kama wewe ni "mvaa kobasi" kaombe viza ubalozini wasaidie "wavaa kobasi wenzio" kupambana na ISRAEL.

Mjomba wako Ameuawa huko Iran, kalipize pale Tel Aviv.
 
Hapa ndio tunakuja kwenye intelligent agent capability, inatakiwa sasa Iran aangalie namna yakuwa na Intel kali dhidi ya adui anayeishi naye otherwise atapata shida sana kwenye vita yake na Israeli.

Jews wanajulikana kwa ubinafsi na kujali Taifa lao hata kama wamezaliana na watu wa mataifa mengine basi mradi una hiyo damu lazima utumike kwa maslahi ya Jews.
Hittler aliligundua hili akaamua kuwamaliza Germany na nchi zote ambazo Manazi walivamia maana tayari alijua hiki ni kirusi na mipango yao huwa ni low key and behind the scene.

Uwezo wa Iran bado unanipa shida sana maana nikiangalia navy capability yake naona bado sana, naona anaconvert merchant ships zake kuwa naval ships, Hana subs za kisasa, hana covetry za kisasa, Hana mine sweaper za kisasa wala destroyer kifupi baharini yuko mtupu, ukiangalia airborne yake hana fighter jets za kisasa wala stealth bombers.
Kwa vita ya sasa ili uweze kuvimbiana na Taifa kama Israeli unapaswa kuwa sawa maeneo hayo yaani sawa kweli na uwe na wataalam wakutosha kutengeza hivyo vitu hata katikati ya vita na sio kutegemea stock.

Binafsi naamini namna pekee itakayowasaidia, kusoma sana na kutengeneza wataalam wengi wa ndani na kuwa na viwanda vyao vya vifaa vya kijeshi huku wakiwa low key sana, ukishakuwa na technolojia na watu wengi wenye maarifa inakuwa rahisi kidogo kuwa na miguvu ya kijeshi na kijasusi.
Iran kajikita sana sehemu tatu mkuu na hizo sehemu yuko vizuri kuliko Israel.
-Uundaji wa Air defence systems.
-Uundaji wa multi rocket launchers Na ballistic missiles.
-Uundaji wa drones.Hata ile Drone ilopenya Tel Aviv Na kushambulia pasi na kuwa detected ni Iranian made.
Hizo sehemu Iran amepaboresha sana.
 
Back
Top Bottom